Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
mkuu njoo uzichukue tuSamaki samaki yupo wapo wengi mkuu, hizo pesa si ufanye nikutunzie tu huko utazinywea zote 😒
mkuu njoo uzichukue tuSamaki samaki yupo wapo wengi mkuu, hizo pesa si ufanye nikutunzie tu huko utazinywea zote 😒
Yaani jana nimecheka sana.





Wanajifanya hawautaki kumbe wameujaza mioyoni, wakishtuka tu wanautaja hata pasipohusika.Watu walikuwa wanajichatia tu vizuri humu kuhusu utomboy sijui utom girl,,watu wamevamia comments zao na kuingiza hizo za ushoga.




Hahaaa naunga mkono na mguu hiyo hoja kweli wine ni juice iliyochangamka! Wine ni kwa ajili ya wale ambao ndiyo wanajifunza ulevi wanataka kuingia chamani huwa hatuwapi beer, whisky, wala spirit tunawapa wine tena zile nyepesi kama Saint Anna na Dompo wakizoea ndiyo wanahamia huku!Unaanzisha tu hata kwa ajili ya kuchitchat.
Sawa mkemia wetu.
Kuna mwenzio jana ndugu yangu amenivunja mbavu,View attachment 2031946View attachment 2031947
Amen mdogo wanguMommah hakika shule ulienda kuchukua maarifa sio kusoma, wallah na niko serious, naomba tukutane nina zawadi yako kubwaaa, yaan nimesoma huku nashusha tabasamu zito lenye uvugu vugu la furaha,
Nakuambia wazi kwa madini haya, kuna watu wanaumia na kuteseka ndani kwa ndani, wasomapo hii convoy yako, ba hawaamuni ndo wee unapasua ukweli iv.
Ubarikiwe sana.![]()




Kuna watu wakiona hizi "tyuuu" na "jomoni" zilizotamalaki humu basi wanachefukwa. Uvumilivu unahitajika kwa sababu mpaka mtu kaamua kuwa shoga kalegea anatembea anarusha mikono huku na huko sidhani kama unaweza kumbadilisha tu kwa kumshambulia mitandaoni humu.
Na mimi ningependa pia kuona vita na chuki hizi dhidi ya mashoga pia zinaelekezwa kwa wanaofira mabinti kwa sababu, kwa maoni yangu, nao ni wale wale tu.
Anyway, kama ulivyosema, tuendelee na mambo mengine....![]()




sasa si watoke kwenye uzi, kwani wameitwa hapa? 





Ahsanteeeh ccNi yeye
Na nyie tungewaandama humu kuhusu hizo pombe je .
Nyie ndio mnaoleta utaratibu wenu mnaoujua nyie kuhusu dhambi.
Kalumbu ukiwa mlevi,na mwingine akawa shoga na mwingine akawa msengenyaji yaani nyie wote ni motoni.
BTW sikuona kama wanapromote hayo mambo maana walikuwa wanajichatia tu kuhusu mionekano yao.
Hakukuwa na sababu zozote za kuvamia comments zao na kuanza kuattackiana
Nyie wenyewe mmeanza kuzungumzia kufirana wakati wenyewe cocastic na Karma wala walikuwa hawazungumzii hayo yenu ya kufirana.
Ukisema unamshupalia mtu kisa tu walikuwa wanapiga stori zao,na sisi tukisema tuanze kuwanyanyapaa hapa walevi na tukawakandia kabisa msihamasishe ulevi..ama msipost picha za pombe mlizojaza ndani,
Au nyinyi walevi mkitushupalia sisi wenye picha za hovyo na tunaobebishana kwamba tusifanyw hivyo..
Au vipi wale wanapost picha zao wapo wanapimana virusi tayari kwa migegedo(Namaanisha wazinzi)
Unadhani kuna mtu angebaki humu?



Bageshi. Jiangalie. Waweza jikuta unazoea kuandika hivi. Kikao cha ukoo kitafanyika haraka na kukutenga kabisa. Lekaga gete!Hahaha....jomon dyadya![]()



Hujambo lakini besti?
Ndiyo. Kuna ukakasi sana ukiona avatar ya kiume inasema "jomoni, hatimaye tutaelewana tyuuu.." ila inabidi tuvumiliane na kuchukuliana kwa sababu hakuna aliye mkamilifu kati yetu. Sote tutaokolewa kwa Neema za Mungu tu na si ajabu siku ya mwisho unakuta huyu wa jomoni na tyuuu ndo anaenda mbinguni. Tusihukumiane; na tukanyane kwa upendo!







I'm humbled mkuuI am sorry miss,, i don't mean to offend ya or anything like that,,
If you are free someday in the future, i would like to have a cup of coffee with you
I am both amazed and thrilled by your points and you
Sent using Jamii Forums mobile app


Mipaja ina dimpozi bagosha!




Afadhari umejua hili, nlidhani ni peke yangu, na siwezi kuvumilia stress za mtu anipumzikie mie, akat sihusiki nae, nakula nae sahani 1, hadi kieleweke,Halafu kwani si mlikuwa mnapiga stori tu kuhusu mionekano yenu!
Kilichowawasha kuingiza hizo habari zao nyingine ni nini?
Umezuka mtindo humu jf wavuta bangi wachache wanavamia comments za watu na kuanza kubwabwaja vile wanataka.




Sasa na ww ndo utakazana kukwoti kila mtu aliyechangia huu mjadala. Jomoniii



Sidhani kama kuna anayewatetea. Watu wanajaribu kuonyesha unafiki uliopo; na kuliangalia suala zima kwa upana wake katika jamii na kimalimwengu. Sidhani kama kuna mtu anashadadia ushoga.
Nina jirani hapa ana litoto first born lishoga mabasha wamelilegeza linatembea linarusha mikono yaani ni aibu tupu. Hili siyo jambo la kujivunia na likibisha nyumbani ndo utajua balaa lake!






nimecheka paragraph ya mwsho, jinsi ulivowasilisha. KhaaaahMimi nilipewa wine na nikashindwa kunywa.Hahaaa naunga mkono na mguu hiyo hoja kweli wine ni juice iliyochangamka! Wine ni kwa ajili ya wale ambao ndiyo wanajifunza ulevi wanataka kuingia chamani huwa hatuwapi beer, whisky, wala spirit tunawapa wine tena zile nyepesi kama Saint Anna na Dompo wakizoea ndiyo wanahamia huku!
hahahahahahhahahahahahahahahahahahahaSasa na ww ndo utakazana kukwoti kila mtu aliyechangia huu mjadala. Jomoniii!!!
Basi tukemee takataka zote.
Hata ulevi ni dhambi,inatakiwa tuonyeshe kila aina ya torture .
Na uzinzi pia ni dhambi na haufai...vipimo vya ukimwi vinatumwa humu,watu wanaenda kuzini ila unakuta wanapewa best wishes.
Ndio hapo watu humu mnavyoshangaza.






