Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha mbona ni kama umeanza kupanic mkuu punguza mihemko basi! Hakuna anayetetea ushoga hapa ila acheni unafiki acheni kwanza kutetea uzinzi wenu kwa hoja za kipumbavu ndiyo muanze kuwanyooshea vidole mashoga hata wazinzi wenzako wengi wameshaelewa hoja inayoongelewa hapa ila wewe umeamua tu kuleta ligi please spare our children from gayism and adultery in general!
Huu n mtori, nyama ziko chini.
DJ waleteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh,
 
Teh kwamba wewe ni bikira ama umeoa mkuu? Kama wewe siyo mzinzi basi acha ulevi maana hata nao ni dhambi au unataka tuanzishe mada nyingine hapa kuhusu ulevi?

Teh wachinjeni basi halafu tuone mbona hizi kauli huwa mnaishia kuziongea mitandaoni tu na hamchukui hatua yoyote? Nataka kuona mashoga wakianza kunyongwa hahaaa!
akamuulize makonda. Atampa majibu murua.
 
Ngoja nikuhadithie mimi japo hujaniuliza
Karma alipost picha za miguu yake, cocastic akasema ameipenda..mjadala ukaanza hapo yakaingizwa mambo ya kupaka rangi,,karma akasema huwa hajiweki kikikekike ,hayo mambo ya urembo na nini.
Cocastic akasema ana dada yake pia ni tomboy..mjadala ukaendelea..wahuni wakaja kuingiza comment za ufiraji ndio hilo varangati linarindima hapo
 
Aahh huyo ni genius siku zote kwani we humsomagi hata kwenye comments zake nyingine? Na nina uhakika haujawahi mkuta kwenye nyuzi nyingine akiwa anajisifia mbona utampenda maana anaonaga wengine wote ni vilaza yeye ndiyo yuko vizuri na anajua kuhusu kila anachokiongelea!
kumbe watu mnawajua eeeh?
 

Yaani ukae kimya!
Nimecheka sana.
Nisomee wapi,nishatupia kwenye zile takataka zangu kwa kile kitufe.

Bangi ni mbaya.
Ah huyu si ashawahi kupachika ndugu zake kwenye comment yangu.
Akawapachika na kina Billgate kwahiyo wala sishangai. .bahati nzuri nilikuwa kwenye mood yangu nzuri ya maombi.


Hata hii mada naona alijipachika kwenye comment zenu.
Alijipachika ndyo,
Na target yake ilikua mie, mbna amejua kufurahishwa, na ame enjoy show vizuri.
 
kumbe watu mnawajua eeeh?
Basi mkuu inatosha. Pumzika sasa uzi uchukue mkondo kwingine. Kulitaka kupoa kidogo lakini sasa umekuja unakwoti kila mtu na kuchochea moto upya. Mjadala huu utaendelea mpaka lini? Acha sasa ili watu waendelee na mambo mengine. Hukuwepo na watetezi wako wamekupigania sana. Let's move on to other important things. Jifunze kusikiliza na mashauri ya watu wengine na siyo wewe kujifanya wewe ndiyo wewe tu. Inatosha sasa. Acha watu waendelee na mambo mengine...
 
Teh sasa usitake na mimi nikuulize kama nilishawahi kukufuata kukuomba tusagane maana ndiyo nitakuvuwa nimekuvunjia heshima right? So chill my brother!
mommah, kumbe wee n mtata eeeh
 
Basi its either muwafuate hao mashoga muwanyonge au muwachinje au mpige kimya muache kutupigia kelele humu mitandaoni wakati hamna ubavu wa kuwafanya chochote na sheria zikawasupport! Kutwa kulalamika tu humu oo wanyongwe wachinjwe blah blah halafu hamfanyi chochote!
 
Back
Top Bottom