Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Teh hoja my foot! Haya washurutisheni viongozi wenu waweke sheria ya kukamata mashoga na kuwafunga kama wanavyofanya kwa watumiaji wa madawa ya kulevya kisha waanze kuwanyonga na kuwatupa halafu ndiyo tutajua kati ya mimi na wewe hapa nani ana hoja na nani ana mihemko!
Ila kuna watu wamechanganyikiwa
Imagine mtu anasema kaa kimya
 
Urudi uwata
20211126_192128.jpg
 
Bora wewe uliyekuwepo tangu mwanzo useme! Wale wanafiki wanaojifanyaga wanachukia ushoga ilihali wao wana madhambi yao makubwa kuliko hiyo wangekaa kimya hata sijui wangepungukiwa nini, sisi wengine hatuwezi vumilia kuona lijitu lizinzi limeshupaza shingo linamtukana shoga, like nigga what is the fvcking difference between you two?

Kwa sababu ukichunguza kwa umakini ushoga unaanzia kwenye uzinzi watu wangekuwa hawafanyi mapenzi kabla ya ndoa wala ushoga usingeenea kwa kiasi hiki! Kwa sababu ushoga bado haujapokelewa kwa mikono miwili kwenye jamii nyingi sana tena sana hivyo ni ngumu sana wanaume wawili mabikira eti wafunge ndoa wakashikishane ukuta!

Ushoga kwa asilimia kubwa huanzia na kufanyika kwenye mazingira ya uzinzi ila hapa watu wanajifanya wanafiki kama vile dhambi wanazofanya wao ndiyo ndogo sana! Wazinzi ukiwaambia watakuletea upumbavu wa sijui kuuziwa mbuzi kwenye gunia na takataka nyingine kama hizo na wanaamini kwa vile watu wengi duniani wanafanya basi eti ni halali!View attachment 2031872
I am sorry miss,, i don't mean to offend ya or anything like that,,
If you are free someday in the future, i would like to have a cup of coffee with you
I am both amazed and thrilled by your points and you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mnaona sasa! Yaani hadi Shetani mnamvisha utakatifu kwamba eti hata dhambi ya ushoga haimuhusu wakati Mungu mwenyewe kawaacha wanaishi na wengine anawabariki na anawapa nafasi ya kutubu vinginevyo si angewaua tu chap!
sawa sawa kila mtu abaki na anachokiamini mkuu....ausio
 
Ngoja nikuhadithie mimi japo hujaniuliza
Karma alipost picha za miguu yake, cocastic akasema ameipenda..mjadala ukaanza hapo yakaingizwa mambo ya kupaka rangi,,karma akasema huwa hajiweki kikikekike ,hayo mambo ya urembo na nini.
Cocastic akasema ana dada yake pia ni tomboy..mjadala ukaendelea..wahuni wakaja kuingiza comment za ufiraji ndio hilo varangati linarindima hapo
 
Ila kuna watu wamechanganyikiwa
Imagine mtu anasema kaa kimya
Aahh huyo ni genius siku zote kwani we humsomagi hata kwenye comments zake nyingine? Na nina uhakika haujawahi mkuta kwenye nyuzi nyingine akiwa anajisifia mbona utampenda maana anaonaga wengine wote ni vilaza yeye ndiyo yuko vizuri na anajua kuhusu kila anachokiongelea!
 
Back
Top Bottom