Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,313
Kwendraaaa huko[emoji849][emoji849][emoji849]Mekula Makiwendo [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwendraaaa huko[emoji849][emoji849][emoji849]Mekula Makiwendo [emoji3]
Ya wapi sasa?Alie karibu na samaki samaki aje tunyonye samakiView attachment 2031902
[emoji38]Aahh huyo ni genius siku zote kwani we humsomagi hata kwenye comments zake nyingine? Na nina uhakika haujawahi mkuta kwenye nyuzi nyingine akiwa anajisifia mbona utampenda maana anaonaga wengine wote ni vilaza yeye ndiyo yuko vizuri na anajua kuhusu kila anachokiongelea!
Hahaha....jomon dyadya[emoji3]
Oooooh!!! Kumbe ndivyo ilivyokuwa?Ngoja nikuhadithie mimi japo hujaniuliza[emoji1787]
Karma alipost picha za miguu yake, cocastic akasema ameipenda..mjadala ukaanza hapo yakaingizwa mambo ya kupaka rangi,,kama akasema huwa hajiweki kikikekike ,hayo mambo ya urembo na nini.
Cocastic akasema ana dada yake pia ni tomboy..mjadala ukaendelea..wahuni wakaja kuingiza comment za ufiraji ndio hilo varangati linalindima hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe endelea...Hahaha....jomon dyadya[emoji3]
Hahaha....Bhebhe galeka nang'ho
Huo muda wa battle haupo mchumba!...Mimi hata kuanzisha uzi ni ngumu sana[emoji28]Hunaga muda wa battle, unajipigia tu Jack Daniels zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hapo huwa nakukubali.
Anzisha basi uzi siku moja nione tone yako kwenye uziHuo muda wa battle haupo mchumba!...Mimi hata kuanzisha uzi ni ngumu sana[emoji28]
Mkuu kwemaa
wacha nikusanye Mil3 kwanza....Urudi uwata[emoji23][emoji23]View attachment 2031901
Uzi hapana mchumba muda sina.Anzisha basi uzi siku moja nione tone yako kwenye uzi
Halafu hivi ushasahau kama uchumba tulivunja?
Utazikuta faraghani.wacha nikusanye Mil3 kwanza....
ni wewe ndani ya chochea au
Kwa michepuko yako sikurudii ng'oooUzi hapana mchumba muda sina.
Mimi na wewe bado tunapendana tutarudiana tu[emoji38]
Ooh hujaelewa hizo tatu za nini kwani??Utazikuta faraghani.
Uzuri kule hakuna umasikini.
Haaaa mimi uwa yanaishia hapa hapa mchumba![emoji28] Nikiwa na Jack daniels yangu uwa nachat for fun tuKwa michepuko yako sikurudii ng'ooo
Na wakukatae hivyohivyo.
Anzisha basi uzi ex wangu.
Watu walikuwa wanajichatia tu vizuri humu kuhusu utomboy sijui utom girl,,watu wamevamia comments zao na kuingiza hizo za ushoga.
Yah..tusonge mbele sasa wakuu,tumefunga mjadalaKuna watu wakiona hizi "tyuuu" na "jomoni" zilizotamalaki humu basi wanachefukwa. Uvumilivu unahitajika kwa sababu mpaka mtu kaamua kuwa shoga kalegea anatembea anarusha mikono huku na huko sidhani kama unaweza kumbadilisha tu kwa kumshambulia mitandaoni humu.
Na mimi ningependa pia kuona vita na chuki hizi dhidi ya mashoga pia zinaelekezwa kwa wanaofira mabinti kwa sababu, kwa maoni yangu, nao ni wale wale tu.
Anyway, kama ulivyosema, tuendelee na mambo mengine....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Thank you mdogo angu mwenyewe 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie Bk ujue?Totally wrong!! ! [emoji15]