Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Waambie hao wanaochagua dhambi! Mfano mimi siyo mzinzi jambazi wala msagaji na nachukia hayo matendo, lakini huwa najiepusha sana kuwahukumu wazinzi majambazi na wasagaji kwa sababu najijua mimi ni mlevi, sasa nikisema eti nijione mtakatifu au nina afadhali eti kisa dhambi ya ushoga ndiyo inaonekana ina madhara makubwa sana kuliko ulevi sitakuwa sahihi na nitakuwa mnafiki tu sababu zote hizo ni dhambi!
Halafu kwani si mlikuwa mnapiga stori tu kuhusu mionekano yenu!
Kilichowawasha kuingiza hizo habari zao nyingine ni nini?

Umezuka mtindo humu jf wavuta bangi wachache wanavamia comments za watu na kuanza kubwabwaja vile wanataka.
 
Na Kuna watu wanawatetea humu kwakweli inasikitisha Sana huu Uzi ulikua Bomba Sasa ni takataka
Sidhani kama kuna anayewatetea. Watu wanajaribu kuonyesha unafiki uliopo; na kuliangalia suala zima kwa upana wake katika jamii na kimalimwengu. Sidhani kama kuna mtu anashadadia ushoga.

Nina jirani hapa ana litoto first born lishoga mabasha wamelilegeza linatembea linarusha mikono yaani ni aibu tupu. Hili siyo jambo la kujivunia na likibisha nyumbani ndo utajua balaa lake!
 
Bomba kwa sababu tunavumiliana na kuchukuliana hivyohivyo.

Ukute hata wewe picha za pombe
Unazopost zinakera watu ila ni vile tu wanavumilia.
Jitahidini na nyinyi kuwa wavumilivu watu wanapopiga stori zao.
Ushoga hapana ndugu yangu inatakiwa ukemewe vikali Sana na Hawa madogo inatakiwa waoneshwe Kila aina ya torture wajue jamii haitaki ,, wew chukua mfano rahisi tu mtu aseme huyu mlevi na huyu shoga Nan jamii inamuona sio wa kawaida
 
Basi tukemee takataka zote.

Hata ulevi ni dhambi,inatakiwa tuonyeshe kila aina ya torture .
Na uzinzi pia ni dhambi na haufai...vipimo vya ukimwi vinatumwa humu,watu wanaenda kuzini ila unakuta wanapewa best wishes.

Ndio hapo watu humu mnavyoshangaza.
 
Uzuri na mimi niliwatahadharisha kabisa kuwa huu mjadala kuhusu ile society tukianza kuuongelea huwa haunaga mwisho sema tu kuna watu wakaniprovoke niongelee! Mimi ninachoweza kusema ni kwamba tu ifike pahala binadamu tuache unafiki jamani daah!
Na tangu mwanzo hilo halikuwa lengo lenu kuongelea.

Ila kuna watu wamelazimisha hadi mmeanza kuongelea.

Tuendelee na essay mama Beijing
 
Basi tukemee takataka zote.

Hata ulevi ni dhambi,inatakiwa tuonyeshe kila aina ya torture .
Na uzinzi pia ni dhambi na haufai...vipimo vya ukimwi vinatumwa humu,watu wanaenda kuzini ila unakuta wanapewa best wishes.

Ndio hapo watu humu mnavyoshangaza.
SAWA naona unawatetea Sana labda una 10% maana mjini hapa ( joking)
 
SAWA naona unawatetea Sana labda una 10% maana mjini hapa ( joking)
Eeh bwana napata asilimia 90 ndio naendesha maisha mjini hapa daslam.,ndo biashara zangu mjini hapa.
Siku nyingine jitahidi kupunguza ramli,hauziwezi.

Ndo shida ya kuvamia mada bila kuisoma toka mwanzo.

Huyu mtoto nadhani mada iliwahi kuja mwakajana mpaka nikagombana na watu humu,
Nilipinga sana picha za huyu dogo alizoanza kupost na nilimuandama sana.

Ila kwa mada hii namtetea kwa sababu nimesoma chats zao tangu mwanzo na wala walikuwa hawaongelei huo ufiraji wenu.
 
Hujambo lakini besti?

Ndiyo. Kuna ukakasi sana ukiona avatar ya kiume inasema "jomoni, hatimaye tutaelewana tyuuu.." ila inabidi tuvumiliane na kuchukuliana kwa sababu hakuna aliye mkamilifu kati yetu. Sote tutaokolewa kwa Neema za Mungu tu na si ajabu siku ya mwisho unakuta huyu wa jomoni na tyuuu ndo anaenda mbinguni. Tusihukumiane; na tukanyane kwa upendo!
Ni changamoto sana..

Lakini hatuna budi kuishi humo.. sisi ni kina nani hata tuanze kuwanyooshea vidole Mpendwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujambo lakini besti?

Ndiyo. Kuna ukakasi sana ukiona avatar ya kiume inasema "jomoni, hatimaye tutaelewana tyuuu.." ila inabidi tuvumiliane na kuchukuliana kwa sababu hakuna aliye mkamilifu kati yetu. Sote tutaokolewa kwa Neema za Mungu tu na si ajabu siku ya mwisho unakuta huyu wa jomoni na tyuuu ndo anaenda mbinguni. Tusihukumiane; na tukanyane kwa upendo!
Halafu ujue kinachoendelea hata sijakifuatilia...

Naona waraka za watu tu humu... ila kusoma sijaweza...Kwani Imekuja kuwaje tena SYB?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni yeye

Na nyie tungewaandama humu kuhusu hizo pombe je .
Nyie ndio mnaoleta utaratibu wenu mnaoujua nyie kuhusu dhambi.

Kalumbu ukiwa mlevi,na mwingine akawa shoga na mwingine akawa msengenyaji yaani nyie wote ni motoni.

BTW sikuona kama wanapromote hayo mambo maana walikuwa wanajichatia tu kuhusu mionekano yao.
Hakukuwa na sababu zozote za kuvamia comments zao na kuanza kuattackiana
Nyie wenyewe mmeanza kuzungumzia kufirana wakati wenyewe cocastic na Karma wala walikuwa hawazungumzii hayo yenu ya kufirana.

Ukisema unamshupalia mtu kisa tu walikuwa wanapiga stori zao,na sisi tukisema tuanze kuwanyanyapaa hapa walevi na tukawakandia kabisa msihamasishe ulevi..ama msipost picha za pombe mlizojaza ndani,

Au nyinyi walevi mkitushupalia sisi wenye picha za hovyo na tunaobebishana kwamba tusifanyw hivyo..
Au vipi wale wanapost picha zao wapo wanapimana virusi tayari kwa migegedo(Namaanisha wazinzi)
Unadhani kuna mtu angebaki humu?
maelezo ni marefu sijasoma....UMESHINDA Battle La kuwatetea magay.....enough for today
 
Eeh bwana napata asilimia 90 ndio naendesha maisha mjini hapa daslam.,ndo biashara zangu mjini hapa.
Siku nyingine jitahidi kupunguza ramli,hauziwezi.

Ndo shida ya kuvamia mada bila kuisoma toka mwanzo.

Huyu mtoto nadhani mada iliwahi kuja mwakajana mpaka nikagombana na watu humu,
Nilipinga sana picha za huyu dogo alizoanza kupost na nilimuandama sana.

Ila kwa mada hii namtetea kwa sababu nimesoma chats zao tangu mwanzo na wala walikuwa hawaongelei huo ufiraji wenu.
wadandiaji treni Wacha tushuke dj tushushe Kwa wimbo wa zabron singers
 
Back
Top Bottom