Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Wote majiganyanzaUnakuta hata yeye hawezi kukuvumilia cha pombe.



Wote majiganyanzaUnakuta hata yeye hawezi kukuvumilia cha pombe.



Kuna watu humu ni walevi kupindukia ila wapo kuwaandama wenzao









et shoga kubabeeek.....yani unafananisha bia/kvant na mwanaume kuinamishwaKuna watu humu ni walevi kupindukia ila wapo kuwaandama wenzao
Ila dunia hii![]()














Hey, madam let's end here this shit please,it's enough for todayAiseee hivi ni kwanini mkishashikiwa pabaya huwa mnakimbilia kusema kuwa siyo wote wanaoamini dini wala uwepo wa Mungu? Na huwa mnakimbilia kwenye mwamvuli wa sheria na tamaduni kwani kila mtu anafuata hizo tamaduni?
Sasa kama wewe hauwaheshimu mashoga kwanini unanilazimisha mimi niwaheshimu watu wasioamini Mungu katika kundi la watu wengi wanaoamini Mungu? Je vipi dunia nzima tukasema tusimuamini Mungu hali itakuwaje?
Halafu pia kwanini ulazimishe kila mtu aamini sayansi what is sayansi? Wakati hata sayansi nayo kuna vitu havijawa proven kwa asilimia mia moja kama ambavyo atheists wanaamini kuna vitu kuhusu deity havijawa proven kwa asilimia mia moja?
Watu walikuwa wanajichatia tu vizuri humu kuhusu utomboy sijui utom girl,,watu wamevamia comments zao na kuingiza hizo za ushoga.Yani tangu Jana kila nikiingia kwenye huu Uzi Stori ni ushoga,utom boy na ulesbian.Inatosha asee
Nitawacharaza bakora wote mnaojibizana hizi Stori
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Una mguu mzuriOMG una dimples, una shingo nzuri, una dental formula nzuri, una tabasamu zuri. Aiseee uko vizuri![]()
Nilikuwa sahihi nilipokuwa nakuchora kabla sijakuona..mdada Fulani hivi mwenye shepu lake
Ni yeyeet shoga kubabeeek.....yani unafananisha bia/kvant na mwanaume kuinamishwa
fun![]()
Kwamba tyuuuu....JomoniKuna watu wakiona hizi "tyuuu" na "jomoni" zilizotamalaki humu basi wanachefukwa. Uvumilivu unahitajika kwa sababu mpaka mtu kaamua kuwa shoga kalegea anatembea anarusha mikono huku na huko sidhani kama unaweza kumbadilisha tu kwa kumshambulia mitandaoni humu.
Na mimi ningependa pia kuona vita na chuki hizi dhidi ya mashoga pia zinaelekezwa kwa wanaofira mabinti kwa sababu, kwa maoni yangu, nao ni wale wale tu.
Anyway, kama ulivyosema, tuendelee na mambo mengine....![]()




Ni keki mkuu
Na Kuna watu wanawatetea humu kwakweli inasikitisha Sana huu Uzi ulikua Bomba Sasa ni takatakayani mwanaume UNATIWA.....eeeh baba wapende zaid mashoga wote nchini..
Hujambo lakini besti?
Madillu kaidhinisha hii au tusiokubaliana nayo tuanze safari kuelekea Bujumbura?
Waambie hao wanaochagua dhambi! Mfano mimi siyo mzinzi jambazi wala msagaji na nachukia hayo matendo, lakini huwa najiepusha sana kuwahukumu wazinzi majambazi na wasagaji kwa sababu najijua mimi ni mlevi, sasa nikisema eti nijione mtakatifu au nina afadhali eti kisa dhambi ya ushoga ndiyo inaonekana ina madhara makubwa sana kuliko ulevi sitakuwa sahihi na nitakuwa mnafiki tu sababu zote hizo ni dhambi!
Bomba kwa sababu tunavumiliana na kuchukuliana hivyohivyo.Na Kuna watu wanawatetea humu kwakweli inasikitisha Sana huu Uzi ulikua Bomba Sasa ni takataka