Selfika na JF: Snap it. Show it

Back house one dash[emoji2][emoji2][emoji2]ngumu bwana!ila tulikomaaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hakika maths inatuheshimisha wengine "usimuone ivo anasoma comb ngumu huyo" nlikua nasikiliza memoz za watu.

Kna sku npo na mtu tunasoma prepo, ananiulza "iv ilikuaje ukapenda masomo haya? Maan hufanan wengi wenu mnakuaga HKL, HGL"

nliwaza mbali sana yaan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeiona af kwa wavulan iko Bihawana na Milambo wasichana iko Iringa girls, mchanganyko iko Dodoma sec. Nahis shule hizo tyuuh km sjakosea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukuamua bhana wii, hata CBG? hukuitaka?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uchambuzi wa vitabu, nlkua hata sihusiki mie.
 
At some point, huwa naamini kuiweza Maths ni kipaji kama ilivyo kwa vipaji vingine.
The gap is too big kati ya wanaoiweza na wasioiweza. Imagine wa kwanza ana 90+ afu wengi wapo kwenye 30,40
Kna mpare alikua anatuongozea class, yule mtu maths alizaliwa nayo, tupo 4m 3 anapigisha pind 4, kila test na mitihan hashuki chin ya 95,

4m 4 akatoka na 1 ya 9, akaenda advance vipaji maalumu huko Tabora PCM, now yko UDSM telecommunications engineering. yule mtu ana akili mweeeh
 
Fanya hima maana[emoji1787][emoji1787]
Hako kacocastic kakija hapa hakachelewi kusema nyokooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmmh huyu nishampuuza, kna uzi nmeona anazozaana na mtu hovyo afu hana hata habari, nkajua kuna tatzo sehem, jua kali hili, umeme na maji wa mgao, ni kuvumiliana tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…