Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,836
- 57,465
Ungependa nikulipie moja kwa moja au utakuja mwenyewe kuchukua?😜fungu 1 hapo, nkalipe ada chuo mie, lol
Ungependa nikulipie moja kwa moja au utakuja mwenyewe kuchukua?😜fungu 1 hapo, nkalipe ada chuo mie, lol
Ongeza hapo mzigo unaitwa No time to die ya 2021. Mzee mzima james Bond.View attachment 2009551
Reminiscence, hii ni moja kati ya movies kali sana mwaka huu. Nimependa sana kuanzia uigizaji mpaka storyline.
View attachment 2009553
I Care A Lot. Hii nayo nzuri sana inaelezea jinsi watu matajiri wanavyokuwa heartless.
Hornet Hii ipo Netflix.
View attachment 2009555
Playing God. Hii nayo kali sana.
650Mkuu, habari ? naulizia bei ya play station 4 bei ya chini kabisa nitapata kwa tsh ngapi
🤣🤣🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣
Umenichekesha, kumbe na wewe ni amateur, sasa lini niwapeni course na NDINDA kwenye zoom, ila usivae sasa ninja😁😁..
I knowwww man 🥴Hacking hasa ukitumia social engineering ni simple sana hasa mtu asipokuwa makini...
Mtu anaweza dondosha usb stick nje ya office yako, akahifadhi malware ambayo ina keystroke logging which means kila unapo log kwenye site inaiba credentials na kuzituma kwake, kama una online banking ujue ndio imeisha hio...
Na jinsi watu tulivyo tunaokota tu flash una connect pasipo kujua...
There are million ways kuhack mtu kama kweli umedhamiria... wabongo tupo careless sana...
Hizi malware zinauzwa zingine ni free..
Nilitumia keylogger kunasa password ya WiFi ya eneo flanHacking hasa ukitumia social engineering ni simple sana hasa mtu asipokuwa makini...
Mtu anaweza dondosha usb stick nje ya office yako, akahifadhi malware ambayo ina keystroke logging which means kila unapo log kwenye site inaiba credentials na kuzituma kwake, kama una online banking ujue ndio imeisha hio...
Na jinsi watu tulivyo tunaokota tu flash una connect pasipo kujua...
There are million ways kuhack mtu kama kweli umedhamiria... wabongo tupo careless sana...
Hizi malware zinauzwa zingine ni free..
Duuuh ngja nijitahidi bas lol.Tatizo tunapenda ukianza mazoezi leo matokeo tuone keshoOngeza ongeza bidii and stick to the program....utaona
![]()
Pazuri sana.
kumbe we ni ka bwana mdogo tu,kuna siku niko kwenye dala dala Mwanza hapo mbele yangu amekaa mzee flani kachomekea shati ila chini ana mi sendo afu anabonyeza simu ameingia JF sijui ni member gani humu![]()

Location plz, mommah
mwendokasi inabeba wana jf wengi sana
Huwa nachungulia ukimtizama mtu hata hauwezi kumkadiria

Kama ma-uncle wenyewe ndo kama wewe na mama ni amateur....I repeat....AMATEUR hacker Sitoshangaa
Ila utoto raha sana
I still remember ujinga nilioandika after I hacked someone's Facebook and (enzi hizo) yahoo email
Mungu na muhusika wanisamehe kwa ujinga ule![]()

nmekumbka mbali tyuuhLipia 1 kwa 1 mzee wa tiaraaaeeei.Ungependa nikulipie moja kwa moja au utakuja mwenyewe kuchukua?![]()

Kumbe ndo maana ukipigiwa hupatikani 🙄🙄Nimei download mkuu, thanks kwa taarifa, nimeingia netnaija nikaichungulia, then nikaenda kwenye torrent nikaichukua...
View attachment 2004987
Oya uwe unaandika basi vizuri dah. Hujioni tofauti na wenzako wote humu asee? Andika vizuri wala haitakugharimu kitu.nmekumbka mbali tyuuh