donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Bongo watu wana ukwasi, check yule doctor specialist wa moyo Maybach yake [emoji2][emoji2] halafu eti mimi na kipaso changu nikamuovatek.View attachment 2008682
Haha Mkuu kwani wewe hauna ukwasiBongo watu wana ukwasi, check yule doctor specialist wa moyo Maybach yake [emoji2][emoji2] halafu eti mimi na kipaso changu nikamuovatek.View attachment 2008682View attachment 2008683
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, ko ulanzi na kibanda bora ulanzi? Hii mpya tena kabisaa.[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
No no no, siwezi asee, nataka nikomae sana niweke finishing kadri nguvu zangu zitakapoishia...
Ulanzi kidogo huku kibanda kinapanda, si unajua.. ukisema uinvest saaaana kwenye kiota na penyewe noma...
Sasa hakna nguo nayoweza kufua km jeans, hata ziwe mzigo nafua zote mie.Sasa jeans si hutoweza kabisa.. walau hizo Cadeth.. au we hupendi zinavyolia..
Utaweza safi tyuuh.Santee dear, i will kwakwel natumai zitanipenda nami
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fungu 1 hapo, nkalipe ada chuo mie, lolUnataka nikupe kiasi gani mwali weye?Babu hana hiyana[emoji3][emoji12][emoji12]
Mtu na mchumba ake, af wana chuo hao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi sasa tukutaane, tukapige vyombo [emoji23][emoji23][emoji23], weekend ndo imeanz iv eti?Vyombo ni vingi sio lazima pombe. Hata mie sili pombe. Nimeokoka you know
Duuh sio kwa ndinga hii, af km nliwahi kuiona chuon kwetu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo watu wana ukwasi, check yule doctor specialist wa moyo Maybach yake [emoji2][emoji2] halafu eti mimi na kipaso changu nikamuovatek.View attachment 2008682View attachment 2008683
Nlikumic xan mwenyej, af weka na selfie ya menyu, tumbo lang lipate kupona, [emoji39][emoji39]
Co kwamba cadets swez fua, noo stak tyuuh hasa hzo znazolia kwachu kwachu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi wavaa jeans wanatelekeza kwa dobi[emoji16], kama ni kawaida basi upo good...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanywa pombe nawajua vyema sana, kna brooh wa damu nae anapiga ulabu xan, yaan ujenzi alianz 2017 kamaliza kila kitu mwaka jana,. so kwamba hela hana au asngeweza kumaliza mapema ila tyuuh n ulabu ndo 7bu.Hapana ni mahesabu tu, bado sijaoa, sina mtoto, sitarajii kuhamia leo wala kesho, nakwenda taratibu, lazima bata liendelee kiasi na majukumu yaendelee...
Na wala sishauri kujenga ndio ujanja, unaweza kila mwezi ukawekeza 40% ya kipato kwenye ujenzi ukawa na furaha na huna stress...
Hata kama unafanya kazi ngumu, fanya 2 hrs then pata health break..
Kutana weekend na washkaji, pata bia 2/3 story za hapa na pale, pay some bills, unawatumia skani shekeli kidogo na hayo ndio maisha...
Lakini we sasa ndio upo biiiiiiiiiiiiizeee! Sio vizuri sana..
Kna zinazolia kwachu kwachu, karatas pro, ula kiunjumla cadets sizitak hata. [emoji23][emoji23][emoji23]Aisee!! Basi hizo unazozungumzia itakua ni fake next level, nikiwa nafua hata sisikii, basi ufake unatofautiana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaokunywa pombe mna nn nyie? Haya maneno ndo km huyo mwenzio huyasemaa, eti bar ndo site ya michongo mbali mbali,Sasa huyo umesema anapiga ulabu sana, si sawa na mimi ambae baadhi ya weekend nakuka ulabu ile medium... sema tu uwepo wangu lazima watu walewe[emoji23][emoji1787][emoji23] na nimepata deals nyingi tukiwa bar, wanywa pombe wana michongo hatari[emoji1787][emoji23]...
Wanywaji wengi ambao wapo smart, kwenye pombe ndio mahala wanakaa kuongea,kushauriana na kutafakari maisha kwa ujumla yanakwenda vipi... ila isiwe too much...
Sira 31:27 BHND
Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu.
Sira 31:31 BHND
Usimkaripie jirani yako kwenye pombe, wala usimdharau anapofurahia karamu. Usimwambie neno la kumwonya, wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka mbavu cna hapa, hebu niache na ulanzi wangu wee, na nkitaka nitibuke napiga ulanzi wee nkilanduka tyuuh watu kaz wanayo, uwiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23]Sure nakuambia, kuna rafiki yangu mmoja mzee wake alikuwa mzungu, mama msukuma, sasa dingi alikuwa akienda bar anakula gambe hatari, then anapiga simu afuatwe bar kalewa hawezi endesha, wenzetu kidogo wako strictly kwenye kufuata sheria...
Mara nyingi utamkuta bar na makaburu wale wazungu wa SA...
Sasa jamaa alikuwa ananitafuta tukamchukue mzee wake bar... tukiwa tunarudi maskani kwenye gari mzee anamwambia mwanae huku nasikia "yaani bar ndipo napatia deals siwezi acha kuja" [emoji1787][emoji16][emoji16]...
Nadhani ni utamaduni uliopo dunia nzima haswa kwa wanywaji, ni kama baba yao na mama ni mmoja, sio kwetu tu, huu utamaduni upo kwa wanywaji dunia nzima[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa we mbona unapiga dumla la ulanzi halafu unatusengenya[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulanzi noma...
Chuoni kwenu Mercedes zinatoka wapi? 😂Duuh sio kwa ndinga hii, af km nliwahi kuiona chuon kwetu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana umependeza 😂