Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu hebu nipe movie 2/3 kali kali nizipakue..
Shang Chi umeshaangalia?
20211113_233759.jpg
 
Mkuu hebu nipe movie 2/3 kali kali nizipakue..
906DCA9E-3BC2-44A4-9BD6-B11BE8679FFC.jpeg

Reminiscence, hii ni moja kati ya movies kali sana mwaka huu. Nimependa sana kuanzia uigizaji mpaka storyline.

09A460EC-5F4C-4339-976D-0AE56A33F68F.jpeg

I Care A Lot. Hii nayo nzuri sana inaelezea jinsi watu matajiri wanavyokuwa heartless.
Hornet Hii ipo Netflix.
F9EBA4A4-DCB6-4C25-B1E1-4C9D28437B29.jpeg

Playing God. Hii nayo kali sana.
 
🤣😁😁😁
Dogo ni upcoming mdukuzi..
Kama ma-uncle wenyewe ndo kama wewe na mama ni amateur....I repeat....AMATEUR hacker Sitoshangaa 😆😆

Ila utoto raha sana 😅😅
I still remember ujinga nilioandika after I hacked someone's Facebook and (enzi hizo 🙊🙊) yahoo email 🙈🙈

Mungu na muhusika wanisamehe kwa ujinga ule 😐😐🙉
 
Back
Top Bottom