Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Oya uwe unaandika basi vizuri dah. Hujioni tofauti na wenzako wote humu asee? Andika vizuri wala haitakugharimu kitu.
Una tatzo gan? Au umepatwa na nn? As if nnnao waandkia au kuwajibu wanaelewa, wee unateseka na kipi? Samahan sana ustake kuniharibia siku yangu, tena nmeianza vzur tyuuh, kaa kwa kutulia, km una lako jambo hilo n lako pambana nalo msieeeeew.
 
Happy birthday to me
Na kapicha kangu ntakapost....
20211114_105825.jpg
 
Una tatzo gan? Au umepatwa na nn? As if nnnao waandkia au kuwajibu wanaelewa, wee unateseka na kipi? Samahan sana ustake kuniharibia siku yangu, tena nmeianza vzur tyuuh, kaa kwa kutulia, km una lako jambo hilo n lako pambana nalo msieeeeew.
Mimi sina tatizo na wewe mkuu. Lakini uandishi wako hauna maana. Hata hao unaowajibu wanaogopa kukuambia tu kuwa unaandika vibaya na hawapendi ila basi tu. Kiujumla nikuambie kuwa wanakuona una utoto mwingi ni vile wanakuacha tu.

Jirekebishe tu mkuu hautapungukiwa na kitu. Halafu ukirekebishwa kubali usianzishe league utazidi kuonekana waki.
 
Back
Top Bottom