Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pic%20Layer_20211113111557588.jpg
 
hakika tumbo langu limepata shibe,
Iv dea kwa milo hii mbna hufutuki? Npe siri ya mafanikio.
Maan mie nikila kdg tyuuh menyu km hiyo, lazma nifutuke, had nawaza kukata utumbo wallah iv.
😁😁😁 I'm glad!!!

Huwa nakula kidogo ila hata nayo haisaidii 😬😬 Fanya fanya mazoezi kidogo (hata kutembea tu ) inasaidia sana!
 
Back
Top Bottom