Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

..
20211113_224410.jpg
 
kumbe we ni ka bwana mdogo tu,kuna siku niko kwenye dala dala Mwanzo hapo mbele yangu amekaa mzee flani kachomekea shati ila chini ana mi sendo afu ananonyeza simu ameingia JF sijui ni member gani humu[emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwendokasi inabeba wana jf wengi sana

Huwa nachungulia ukimtizama mtu hata hauwezi kumkadiria
 
Back
Top Bottom