Mimi sina tatizo na wewe mkuu. Lakini uandishi wako hauna maana. Hata hao unaowajibu wanaogopa kukuambia tu kuwa unaandika vibaya na hawapendi ila basi tu. Kiujumla nikuambie kuwa wanakuona una utoto mwingi ni vile wanakuacha tu.
Jirekebishe tu mkuu hautapungukiwa na kitu. Halafu ukirekebishwa kubali usianzishe league utazidi kuonekana waki.
Kwan wee ndo msemaji wao? Au wee ndo huniogopi? Hata nikiwa na huo utoto mwingi, wee unakerekwa na kipi?
Nataka waniambie wao wenyewe sio wee, kwann wasiniambie wao had wakutume wee? Sihitaji league na mtu humu, ukiona kwamba unakereka na maandishi yangu, kuna sett ya ignore/block, na iliwekwa kwa ajiri ya kuzuia kitu uschokipenda, so ukini ignore naa kuniblock hutoona upupu wangu unaokukera,
Sipo humu kufurahisha mtu/watu, nipo kwa ajiri ya kuongeza maarifa na ujuzi na kupoteza muda au kusukuma siku, na hakna nilichokosea au kukiuka, ingekuwa hivyo ningeshaonywa au kukatazwa, mbna vingne nakanywa au kurekebishwa? Why hili la maandishi?
Wee una lako jambo, samahan sana hilo n lako, pambana nalo,
Sasa huo u waki niache nao mwenyewe, wala sjakuomba unisaidie msieeeew. Kuwa buzzy na mambo yako. Yangu hayakuhusu.