Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dude, this is what you need . By the way don't forget to keep some for the sherph ‍🦺‍🦺‍🦺‍🦺‍🦺
767b272352c495fb202eb6fca2576c52.jpg
 
Sina dogi, lakini gs nawakubali sana kwanza wapo intelligent, halafu hawaogopi no matter what, usikivu na uwezo wa kunusa ni next level, wanapenda kuwinda kutembea hata kwa umbali, easily trainable, wanapenda sana watoto, na watakulinda mbele ya hatari yeyote ni moja breed naiubali sana ukiacha wale rottweiler...

Ningekua nae leo angekula sana nyama
View attachment 2009058
Umesahau one crucial point "Dogs are loyal than girls"

No offense tho
 
Sina dogi, lakini gs nawakubali sana kwanza wapo intelligent, halafu hawaogopi no matter what, usikivu na uwezo wa kunusa ni next level, wanapenda kuwinda kutembea hata kwa umbali, easily trainable, wanapenda sana watoto, na watakulinda mbele ya hatari yeyote ni moja breed naiubali sana ukiacha wale rottweiler...

Ningekua nae leo angekula sana nyama
View attachment 2009058
Mkuu hata mm GS naelewa ila baada ya kukaa na breeds nyingine kama Dobermann, Roitweller nimegundua uzuri wao pia. Kwakifupi tu, wanyama ukiwaelewa na wenyewe wanakuelewa sana and I think they can sense the purity of your heart. Kuna this day nlienda sehemu grocery flan mikocheni na wanangu Jean-Pierre Bakunda na Mjuba Ronaldo tukawa tumechil kwenye meza Moja. Aisee huwezi amini Kuna paka alikuja akaniangalia then akadunk juu ya magoti yangu akatulia kabisa. Jamaa walishangaa sana hata mimi mwenyewe nilistaajab
 
Back
Top Bottom