cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Mchezo mzuri huu, nmekumbka mbali sana yaan, nlikua kiungo wa team mie, nkizungusha kat kat pale no 8,bas woyoooooooh.Madogo wakisakata kabumbu mchangani.View attachment 2009101

Mchezo mzuri huu, nmekumbka mbali sana yaan, nlikua kiungo wa team mie, nkizungusha kat kat pale no 8,bas woyoooooooh.Madogo wakisakata kabumbu mchangani.View attachment 2009101

Wapi hiyo now Mr?Natokea Dom ndo nimekatiza msamvu hapa. Ntafika hapo kwa ndugu Makala kabla jua halijazama

Babuuuh nakuja kuchukua hii,
Vipi bado unasakata au viungo vishakomaaMchezo mzuri huu, nmekumbka mbali sana yaan, nlikua kiungo wa team mie, nkizungusha kat kat pale no 8,bas woyoooooooh.![]()

I rest my caseNaamini mkuu, wanyama wamekosa kuongea tu, thats why wana uwezo mkubwa sana wa kuhisi hatari hata kabla hatujafahamu...
Ukiishi nao vyema, utanufaika na kujua mengi..
Asante mwaya...missed you too 🙂Nlikumic xan mwenyej, af weka na selfie ya menyu, tumbo lang lipate kupona,![]()
Nimepungua bana 🥴🥴Naona nyama zinakujia sasa

hakika tumbo langu limepata shibe, Huhisi kichefu chefu? Mweeeeh