Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Huyu dada nilimuelewa Sana .. Uno liko vyedi... Ye mwenyewe ana figure amazing 😘
Huyu dada nilimuelewa Sana .. Uno liko vyedi... Ye mwenyewe ana figure amazing 😘
Asante sana kwa kutukumbusha jambo la muhimu hivi👏Safari ni fupi Sana...
Msichana alikuwa amekaa kwenye Bus, iliposimama akaingia mama akakaa karibu naye. Mama akawa anamfinya na kumsukuma yule msichana kwa mikoba yake mikubwa, Bwana mmoja akaona yanayotendeka, kwa hasira akamuuliza Msichana, kwanini hasemi kitu kwa yale anayofanyiwa na huyo mama?
Binti akajibu akitabasamu "Sio lazima niwe mkali na kuzungumzia kila kitu. "Safari ni fupi sana" na nitateremka kwenye kituo kinachofuata"
Haya maneno "Safari ni fupi sana" yanafaa kuandikwa kwa wino wa dhahabu, maana tukijua
kuwa safari yetu hapa duniani ni fupi, na kwamba kituo cha "kushuka" kipo usoni, basi hakuna haja ya kudhulumu, kutesa, kuonea wengine, kutambia mali au madaraka, kutosamehe wengine, kuwa na tabia mbaya, kupuuza kusali, kuwa mkarimu na kukosa shukuru kwa mema mengi tunayotendewa.
Je, kuna mtu ameuvunja Moyo wako? Kuwa Mtulivu "Safari ni fupi"
Je, kuna mtu alikudharau, akakudanganya? Kuwa Mtulivu "Safari ni fupi"
Umedhulumiwa, kuporwa, kuonewa? Usihamaki. "safari ni fupi"
Wamesahau wema wako? Wamekukimbia au kufukuzwa? Wanakudharau? Kuwa Mtulivu "Safari ni fupi"
Tujaze nyoyo zetu, Utu wema, ukarimu, haki, upole, huruma, upendo, shukrani, hofu MUNGU na kuwatendea wengine mema.
Kumbuka,_*"Safari ni Fupi".*
Tusisahau hilo Wapendwa.[emoji1488]
😀😀 nimetype kilichokuwa akilini at that time.Umewaza nini lakini? Ukichelewa ntakutumia PM tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Pambana dada 🤣Ngoja nipate kinywaji🍷basi ili mistari iongezeke😂 na lugha ipande vizuri
Najua basi? [emoji2][emoji2][emoji2]Nani kapiga picha ? [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui lengo lake lilikua niniThis is too much [emoji1787][emoji1787] kwamba alisikia vinaungua akakurupuka washroom?
Kanichekesha.
Hata sijui... Nijuze tu Jr.Hili neno vyedi limenistua.. Na unajua ni kwa nini
Yes, home zaidi yangu na mshua wote wengine wanaogopa hata kusogea bandani [emoji2][emoji2][emoji2]Yeeeeh man,, he's a Sherpa,,,, sema rottweiler ni aggressive sana
[emoji23][emoji23]...Uhuru unaokuanao ukiwa unaishi pekeyako [emoji3][emoji3] View attachment 2001139
Aiseeee!!YOLOView attachment 2001384View attachment 2001386
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hahaha....nimeangalia vizuri sijaona jinsia....Uhuru unaokuanao ukiwa unaishi pekeyako [emoji3][emoji3] View attachment 2001139
Aisee.YOLOView attachment 2001384View attachment 2001386
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kwa kweli ndo hivyo....Ndo ivoo
Nini kingekua mkuu?Aisee.
Yani nisingekuwa nimeokoka....
Nikisema nitatoka kwenye wokovu 😅Nini kingekua mkuu?