Aise we jamaa kumbe mcute halafu kachalii kadogo tu! Humu watu wengi mna comments za kibabe hadi huwa tunadhani mna miili nyumba na sura ngumu kumbe hata viganjani hamjai mwee!
Ukiniona wakati napika navyokua makini kufatisha youtube + screenshots kama zote ila ola!
Napokosea sielew maana nafata procedure zote, nimesema nikijaribu tena vikabuma ndio itakua mara ya mwisho.
Nitanunua tu za barabarani