Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hahahaaa. Natamani saa zingine nisiwe mbishi ila nashindwa.
Juzi nimekaa na wababa wazee kabisa nilibishana nao hao. Nahisi walivyoondoka pale walinisema sio kwa ubishi wangu halafu nawapa na facts sio nabisha tu.

Siku nyingine nilishawahi kubishana na wengine kuhusu siasa yani bar nzima wakakaa wanatusikiliza

Tuache tabia ya ubishi sio nzuri
 
Kaka wadogo zako watakiona Cha mtema kuni humu ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajitia kuwachokoza dada zao yaani huu uzi Hadi umeisha hakuna rangi mtaacha kuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi burudani tuu... HUU uzi binafsi na kipekee umenifaa sana... Nimepata rafiki tuka chill [emoji934] mno last weekend... Tunaye hapa ila kakausha kabisa... Nami nimeheshimu msimamo wake huo... Kesho tunaweza kufanya featuring... [emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji86][emoji123][emoji109][emoji817][emoji419][emoji625][emoji779].... Wanaobeza acha tu wabeze
 
We inakuhusu nini? Mi dada ako? Mkeo? Nikiwa tapeli we unateseka na nini? Niache na utapeli wangu maana hata nikifungwa hutaleta chakula.
Fanya yanayokuhusu sio kufuatilia wengine
Hata hili pia linanihusu ndio maana ninakula sahani moja na wewe.
 
Dah huu uzi umenivimbisha macho. Kuna picha ya mpendwa mmoja huku (mdada) natafuta kweli. Maana Naangalia post zake kwa hii thread ni kama ameshaitupia hapa[emoji28][emoji28]... Ila Sasa nimeshapekenyeua uzi huu balaa ila sijaiona hadi Sasa! [emoji17]

Fanya hata kuiniletea kwa Majaliwa bhas! Angalau nichaji mboni za macho haya siku iende Sawa.
 
Unatembelea fursa naona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi burudani tuu... HUU uzi binafsi na kipekee umenifaa sana... Nimepata rafiki tuka chill [emoji934] mno last weekend... Tunaye hapa ila kakausha kabisa... Nami nimeheshimu msimamo wake huo... Kesho tunaweza kufanya featuring... [emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji86][emoji123][emoji109][emoji817][emoji419][emoji625][emoji779].... Wanaobeza acha tu wabeze
 
Hizi mbwembwe zinatuhusu???

nadhani ungemwambilia pm tu
Naona kajua mkewe wa tatu akituma hatasifiwa
Woooi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Karma nakufa Mimi humu ndani kwa kicheko
 
Back
Top Bottom