Kugeuka utapambana na depal.
Mimi mpambano wangu nishashindwa
Umenizidi.
Wewe una tumbo dogo na mwili mkubwa.
Mimi dogo kwa sababu ya mwili mdogoView attachment 1223030









Naingia kulala sasa.
Jamani yule aliyesema tunatumia tecno asidhani hatuna simu. Ni vile hatupendi showoff za kishamba.View attachment 1223048




Una kashape very romanticMambo ya tecno.
Nilisharidhika nayo kimbaombao mimiView attachment 1223097







JF hii imebarikiwa sana aisee. Naamini kuanzia sasa nyuzi za kuponda mabinti wa JF kuwa ni wabaya hawana shape zitakuwa zimekufa rasmi. Ashukuriwe mlozi Mshana Jr kuanzisha uzi huu. Hata wanaotafuta wenza washindwe wenyewe tu. Na hapa unaweza kufuatilia mtu anavyoposti na kujibizana na watu ukapata fununu ya tabia zake na misimamo yake. Kwa neema ya Mungu uzi huu utazaa ndoa aisee![]()




Bado nakula bata mshahara....Shauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177
Sema izo nyekundu sio zangu zangu izo za yanga
Kumbe nikitaka kuoa mnyakyusa mwenzangu sipati tabu.Ngumpalisha Uchala gwamaka



Shindano Leo vipi.View attachment 1223003
Mh jf imeficha vitu vizuri
Jana nilipitwa mengi sana, picha niliyokuwa nimetengeneza kichwani mwangu kwa warembo hawa ni halisi. You are gorgeous
Kugeuka utapambana na depal.
Mimi mpambano wangu nishashindwa
Umenizidi.
Wewe una tumbo dogo na mwili mkubwa.
Mimi dogo kwa sababu ya mwili mdogoView attachment 1223030
Hivi hizo hela zipo? Huku nilipo Nina mieziiii sijaona,naona zile za silver tuBado nakula bata mshahara.... View attachment 1223132View attachment 1223131
Blessed babe chibonge 😍Good morning dears,
Mkumbuke kumshukuru MUNGU kwa kutuamsha salama!! Have a blessing day y'all.!!