Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi sijui popote zaidi ya chuo na stand.
Hata huko msalato kwenye nyama choma sijawahi Kwenda.
Mipango na St John's nimeenda Mara 1 Napo ilikua kanisani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukinambia Rudi pekeyako Wala siwezi kufika
Aise daah kweli upele humuota asie na kucha
 
Mimi ukinileta huko kwenu...walah unaniuzia stand.
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia mtu mzima anapotea Basi ndio Mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah uwage unatembea mdogo wangu mjini hapa utaja nunuliwa bila kujijua anyway lini utakuja kunitembelea jamani??
 
Back
Top Bottom