Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Id gani tena hiyo mkuu??Napata hisia zisizokoma kama ulikuwa na ID inayoanza na D
Id gani tena hiyo mkuu??Napata hisia zisizokoma kama ulikuwa na ID inayoanza na D
Nikipambana kuwa na siksi paki utanifikiria? Unajua hata wale ng'ombe bado wamenidodea [emoji16][emoji16][emoji16]Na ukimbaombao huu nakuwaje kisu!?
Acha matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wenye six packs kina Lizarazu visu vyao vipo kule juu[emoji1787][emoji1787]
Vipi kwani na wewe ulishafuga kitambi??Nikipambana kuwa na siksi paki utanifikiria? Unajua hata wale ng'ombe bado wamenidodea [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kuwa na siksi paki kama za huyo ngosha mwenzangu itachukua muda sana wallahi
Nikuone basi hata kifua tu roho yangu ifarijike 🙇Nikipambana kuwa na siksi paki utanifikiria? Unajua hata wale ng'ombe bado wamenidodea [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kuwa na siksi paki kama za huyo ngosha mwenzangu itachukua muda sana wallahi
Mzima?Hauonekani kiurahisi, hadi uwe na macho ya rohoni
kama hivi ulivyo hujipendi Sasa ukianza jipenda itakuwaje[emoji23][emoji23]
Dah.. Three hours ago.... Poa
product za ifm zinajulikana tu
Sasa naelewa how u are not single single[emoji1]
Wewe huyo
Yeah, wewe?Mzima?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naona hapa Uzi ulienda kusikojulikana...ukachepuka njia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshana Jr Kaka vipi ulizidisha kupuliza dawa Nini???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani tupieni picha tusafishe macho...maisha yenyewe haya haya
product za ifm zinajulikana tu
Hizo nazo ni amsha amsha uwe unaacha zitokee kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna chemistry formula ilikataa kidogo ila nshaweka mambo sawa sasa