Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,182
- 11,268
Lips za taifa zitengenezewe sanamu pale posta mnara wa Askari utoleweView attachment 1851830
[emoji2222][emoji2222]
Lips za taifa zitengenezewe sanamu pale posta mnara wa Askari utoleweView attachment 1851830
[emoji2222][emoji2222]
Wife material kabisa wew
Wee weka kwani, afu matokeo ya utafiti utajulishwa baadae. [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa s unambie kwanza, utafiti gani venye unataka kuufanya!?[emoji16]
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Madimba ktk ubora wake.[emoji176]View attachment 1849552
Yes hivyo hivyo.Niliwahi kuitazama miaka ya nyuma sana nikiwa mdogo.
Jana nimeitazama kwa Mara ya 2..
Najifunza kuangalia movie,, nimeona nianze na zile ninazozijua labda zinaweza nishawishi kutazama na mpya.
Hakna namna, tunakubali tu hivyo hivyo japo kwa ugumu na kuchelewa.Nimegundua ni ngumu sana kukubali ukweli[emoji174]...
Ni rahisi sana kumtia moyo mtu,ila once linapofika sasa ulikabili aisew[emoji119][emoji119].
Duuuuh pole sana cc.Pole yake.
Bora hata mimi nilikuwa mdogo mdogo kipindi hicho 15+.
Nilikuwa sioni shida kabisa kulia[emoji23],huku kichwa kinawaka Moto,huku mguu,huku mgongo mara kiuno, huku mkono ,,hapo nime exclude michubuko midogo midogo ya rejareja,,,hiyo combination ya maumivu[emoji119].
Ile gari almanusura iondoke na kiganja changu chote Cha mguu.
Kumenoga hatareeeh.Origin[emoji176]
Our beautiful village.
Kuzuri kama Mamtoni[emoji176]View attachment 1849564View attachment 1849565
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wife material kabisa wew
Ngoja nianza kuweka mipango
Bia imepanda ndege hii
Bia imepanda ndege hii
Sikupingi mkuu, mi narudi pilsnerNimehamia huku na castle light, windhoek nimeipa kisogo kidogo..