Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
...View attachment 1851830
🤸‍♀️🤸‍♀️
...View attachment 1851830
🤸‍♀️🤸‍♀️
Haya Mafuta kwangu hayakosekani.Kwemaa polee hope medical umepata msaada.
But tafuta haya mafuta ili upone haraka usipuuzeView attachment 1848466
Mungu Azidi kukuponyaHabarini za asubuhi wapendwa
Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213

Vidonda vikianza kukauka kdg tafuta hayo mafuta ya lookman. Ni mazuri sanaHabarini za asubuhi wapendwa
Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213
Yatakuja kukusaidia hadi makovu.Habarini za asubuhi wapendwa
Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213















































Bei yake ipoje na yanapatikana wapi kwa Sana?Vidonda vikianza kukauka kdg tafuta hayo mafuta ya lookman. Ni mazuri sana
Kuna umuhimu JF waweke 'voice note' tunamiss vituNisaidie nisilalamike mbele zako
Katika hali zote nijue upo
Umesema hutaniacha ee Yahweh
Haya ni maombi yangu
Angel Benard
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliweka hadi Video call..sijui iliishia wapi.Kuna umuhimu JF waweke 'voice note' tunamiss vitu
Wairudishe

Nadhani ni sh elfu 5 au 6.
Good morning From ZanzibarView attachment 1854392


Oh sawaNadhani ni sh elfu 5 au 6.
Sana kwenye yale maduka ya dawa za sunna

Wewe picha tu imekushinda kuweka..Wairudishe