Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mlioselfika kipindi sipo njooni mrudieee basi..!!

cocastic njoo unibless kitambo sijaona rangi ya umanga manga uduguu..!! 😹😹

Niletee na wale nduguzo vinabo nao watupie 😹😹😹
 
YAH mm nmenyooka, ndo mana hata picha napost nikionekana sura mana sioni la kunifanya nifiche.

Mnyooooko kama rula
Nchi huru hii bana tamba unavyoweza..!!

Na ulivyo kama Denzel pisi mdundiko hazipindui hapo 😹
 
Chino mpaka muda huu hujalala unawinda sungura au fisi? 😹😹

Wewe mbona unakitembeza sana kama dira ya dunia? Ntakuroga uwe unaita wateja 😹😹
Nacheki game ya arsenal.

Hahaha! Dah ila watu wa kariakoo.

HIvi mchuchu hii baridi huioni?
 
Mlioselfika kipindi sipo njooni mrudieee basi..!!

cocastic njoo unibless kitambo sijaona rangi ya umanga manga uduguu..!! 😹😹

Niletee na wale nduguzo vinabo nao watupie 😹😹😹
Rhabhekhaaaa uduguuu upooo? Kitambooo sana hapaaa,
Leo nakuwa live hapaa, ikifika SAA 6,
Yaan niko live kabisaa.
🔥🔥🔥
 
Rhabhekhaaaa uduguuu upooo? Kitambooo sana hapaaa,
Leo nakuwa live hapaa, ikifika SAA 6,
Yaan niko live kabisaa.
🔥🔥🔥
Shem wangu baba tramu mzima? 😹

Leo kutakuwa kwa moto sana humu, udugu upo lebu lebu sio shida zako..!! Unataka kumwaga ngenga zako..!! 👌 eeeeeeyaaah

Nasikia yule jike shupa katelekezwa na watoto wawili yupo kawehuka hajui pa kushika..!! Ugali anaupalilia makaa, wali anausonga..!! Heeeehiya upo uduguu??

Mji Una jotroo huu..!! 😹😹😹
 
😂😂😂 singo mamz kazi kwao kukiweka kwa maprosoo was JF Na baadae wana mwaga na kuwanyali juu.
Safariii hii lami watatambalia ulimii alooooh
Watu weweeeeeee!!! 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom