Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Acheni kula sembe,bawasiri itawaua nyie!
Wacha iniue tu.Acheni kula sembe,bawasiri itawaua nyie!
Mie nishakupita siku nyingi dogo
Ndiyo chakula tunachokimudu sie wanyongeAcheni kula sembe,bawasiri itawaua nyie!
Basi kumbe kweli nimekupita maana mie hadi dona napeleka
Mimi hamo kaugali ka kuonja tu,Mie nishakupita siku nyingi dogo
Dona ilivyokuwa chungu vile[emoji32]Basi kumbe kweli nimekupita maana mie hadi dona napeleka
Khaaaa!!!Kwani dona ni ghali kuliko Sembe?Au hukunielewa?Ndiyo chakula tunachokimudu sie wanyonge
Hamna lolote mikwara ya mende kuangusha kabati tu hiyo
Dona nalo linakinaishaKhaaaa!!!Kwani dona ni ghali kuliko Sembe?Au hukunielewa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna lolote mikwara ya mende kuangusha kabati tu hiyo
Tichavdaraja la kijazi[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]View attachment 1852430
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app