donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,138
Break
Inanipita hivihivi[emoji1751]
Pole sana brotherAMINA
Akhsante sana mpendwa wangu kwa faraja yako
Ki ukweli vidonda vinauma sana ila hamna namna navumilia kiume
Barikiwa mno Saint Anne
Ooooh kumbe wee ni wa huko, mie kwetu Songea 1, dagaa watamu hao hatari, mie mbinga ni mpitaji tyuuh, nimepita had tingi, liparamba, mipoto poto, nmekuja kutokea mitomoni,Mbinga ndugu,now wapo bei juu.kisado sh.elfu 14,Si unajua hali ya hewa si rafiki.
Kumekuchaaaaah.
Uwege unaweka nzima bhana, mie nifanye utafiti wangu vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa s unambie kwanza, utafiti gani venye unataka kuufanya!?[emoji16]Uwege unaweka nzima bhana, mie nifanye utafiti wangu vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23]
Safi hiiTwenzetu Kigoma na Treni ya Deluxe kucheki mechi ya SIMBA na YANGA
TRC ikishirikiana na Clouds Media Group wamekuandalia safari kuelekea Kigoma siku ya Ijumaa jioni trh 23/July na kugeuza J2 usiku trh 25/July baada ya mechi kuisha.
Twende ukashuhudie watani wa jadi wakiminyana katika ardhi ya Kigoma.
Gharama ni
Third Class 100,000/=
Second sitting 120,000/=
Second Sleeping 150,000/=
Gharama hizo zitahusisha Nauli ya kwenda na kurudi, kiingilio uwanjani na Burudani wakati wa safari.Njoo uone Behewa linapokuwa NIGHT CLUB wkt wote wa safari.
Kwa mawasiliano zaidi piga Simu ya Shirika No 0800110042. TRC Karibu tukuhudumie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchumba wangu [emoji176]Safi hii
Niliwahi kuitazama miaka ya nyuma sana nikiwa mdogo.Mie hii siichoki kutazama wallah.
Nimegundua ni ngumu sana kukubali ukweli[emoji174]...Poleeh sana cc, uvumilivu na kukubali hali.
PoleeeeInanipita hivihivi[emoji1751]
Pole yake.Ni kweli ajari ni mbaya sana, kaka angu aliwahi pata na maswahibu haya,
Alikua analia km mtoto mdogo, akati ni mtu mzima mwenye familia.
Naogopa sana ajari mie, poleeeeh san cc japo imepita.
[emoji1751][emoji1751][emoji1751]Poleeee
Ni kuselfika tu mkuu