Ungeazima simu tu kwa rafiki au ndugu anayetumia umzawadie[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Maisha Ni kupata na kukosa[emoji23]
Nasubiri ya mtandao ninaotumia,huenda nikapata.
Ungeazima simu tu kwa rafiki au ndugu anayetumia umzawadie[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Maisha Ni kupata na kukosa[emoji23]
Nasubiri ya mtandao ninaotumia,huenda nikapata.
Kwa Sasa nipo mwenyewe...ila Nimewazawadia rafiki kwenye grp ila bahati haikuwa yao.,wamechelewa.Ungeazima simu tu kwa rafiki au ndugu anayetumia umzawadie
Nashukuru MUNGU naendelea salama/vizuri sana mkuu wanguUnaendeleajee mkuu?
Uko fasta[emoji23]Mjep ubarikiwe na Bwana, ukaongezeke na kustawi sana. Nilikuwa naingia kwenye kikao, ghafla naona ndiyo umetuma vocha, nikaingiza fasta, huyo nikazama mkutanoni. Thank youuuu
Akhsante sana mpendwa wangumwee mwee hadi mwili umesisimka, pole jamani
Aminamkuu pole sanaa.. Mungu akujalie wepesi upone haraka
HongeraaaMjep ubarikiwe na Bwana, ukaongezeke na kustawi sana. Nilikuwa naingia kwenye kikao, ghafla naona ndiyo umetuma vocha, nikaingiza fasta, huyo nikazama mkutanoni. Thank youuuu
Kiroho yupo na wewe/nasi ila kimwili kapotea40 days [emoji174]
Mungu ni baba[emoji120].
Akhsante sana mkuu
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na vile Leo sina vocha.Hongeraaa
Saint Anne anavyokutamani sasa
[emoji174][emoji174]Kiroho yupo na wewe/nasi ila kimwili kapotea
Tumuombee BABA yetu mpendwa aendelee kupumzika kwa amani/salama.
Pole sana mpendwa wangu/wetu Saint Anne
cha bhanaOrigin[emoji176]
Eneo la ukoo.
Our beautiful village.
Kuzuri kama Mamtoni[emoji176]View attachment 1849564View attachment 1849565
Yuda una kitambi. Vipande vya pesa ya malipo ya kumsaliti masihi
Uko fasta[emoji23]
Tena kimyakimya [emoji23][emoji23]
Ilikuwa nizipate mimi,basi tu ni vile situmii huo mtandao..tangu zinatumwa naziona.
Mungu azidi kumbariki brother Mjep[emoji120].
Hongeraaa
Saint Anne anavyokutamani sasa