Kweli kabisa ankalUzuri wa nyumba choo![]()
Eeh wengine ugonjwa wetu choo tukiiona choo tu tunataka KuKOJOAUzuri wa nyumba choo![]()
HahahahaKweli kabisa ankal
Eeh wengine ugonjwa wetu choo tukiiona choo tu tunataka KuKOJOA
Hahahaha
🧚♀️🧚♀️🧚♀️Hahahaha
Kuna panya ana sumbua dukani natamani nimnase nimejaribu sumu ajabu mzima
HahahahaHahahaha
Chukua hako kazuri. Chukua dagaa mmoja muumguze kidogo mkia atoe harufu muweke mtobolee pale. Halafu unapouset. Muwekee kuwa akigusa tuu ufyatuke usiache kichuma kirefu mbele.Kuna panya ana sumbua dukani natamani nimnase nimejaribu sumu ajabu mzima
Abee ankalAnkal![]()