Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku ya kusafisha vidonda nililia kilio kikuu utadhani nimeangikwa msalabani kama Yesu.
Niliapa nitakuja kusaidia wale wote watakaopata maswahibu kama yaliyonikuta.

Ni miaka imepita sasa,

Ila vidonda vinauma aiseeee,tena vya ajalimaana havina mpangilio ,vinahakikisha haulali usingizi kabisa..kuna muda vinapambana kuuma ili mradi tu ulie

Mimi namuelewa sana,
Kuna muda vitamuuma hadi anaweza pata wasiwasi,lakini atapona hataamini, mwenyewe atashangaa.
Ni kweli ajari ni mbaya sana, kaka angu aliwahi pata na maswahibu haya,
Alikua analia km mtoto mdogo, akati ni mtu mzima mwenye familia.
Naogopa sana ajari mie, poleeeeh san cc japo imepita.
 
Dafu
IMG_20210710_104813~2.jpg
 
Back
Top Bottom