Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,602
- 830,289
- Thread starter
- #101,981
Twenzetu Kigoma na Treni ya Deluxe kucheki mechi ya SIMBA na YANGA
TRC ikishirikiana na Clouds Media Group wamekuandalia safari kuelekea Kigoma siku ya Ijumaa jioni trh 23/July na kugeuza J2 usiku trh 25/July baada ya mechi kuisha.
Twende ukashuhudie watani wa jadi wakiminyana katika ardhi ya Kigoma.
Gharama ni
Third Class 100,000/=
Second sitting 120,000/=
Second Sleeping 150,000/=
Gharama hizo zitahusisha Nauli ya kwenda na kurudi, kiingilio uwanjani na Burudani wakati wa safari.Njoo uone Behewa linapokuwa NIGHT CLUB wkt wote wa safari.
Kwa mawasiliano zaidi piga Simu ya Shirika No 0800110042. TRC Karibu tukuhudumie.
Sent using Jamii Forums mobile app