BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,263
- 8,813
Sikuachia naapia.[emoji23][emoji8][emoji3]usije niacha kwenye mataa.
Sikuachia naapia.[emoji23][emoji8][emoji3]usije niacha kwenye mataa.
[emoji3]sawa.Sikuachia naapia.[emoji23][emoji8]
Uje.[emoji3]sawa.
[emoji23]nitumie na yakutolea[emoji849]Uje.
Vibanda vimefungwa watu wanahasira na majonzi office zao zimeteketea na Moto huko kariakoo Bora tuenjoy hata kuchat tu maana waweza kufa na pressure so ya kutelea achana nayo Bora utumiwe usafiri tu uje kuchukuliwa .[emoji23]nitumie na yakutolea[emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23]Vibanda vimefungwa watu wanahasira na majonzi office zao zimeteketea na Moto huko kariakoo Bora tuenjoy hata kuchat tu maana waweza kufa na pressure so ya kutelea achana nayo Bora utumiwe usafiri tu uje kuchukuliwa .
Bwana akutie nguvu mpendwa40 days [emoji174]
Mungu ni baba[emoji120].
[emoji174]Bwana akutie nguvu mpendwa
Very true..May the peace of God that surpasses all human understanding be with you. Huku mkimtwika yeye fadhaa zenu maana hujishughulisha sana na mambo yenu[emoji174]
Amen.
Ni ngumu mno..siri ya machozi anaijua Mungu.
Amen..[emoji120][emoji4]Very true..May the peace of God that surpasses all human understanding be with you. Huku mkimtwika yeye fadhaa zenu maana hujishughulisha sana na mambo yenu
"So sad " Mungu akuponye kipenziHabarini za asubuhi wapendwa
Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213
Dagaa nyasa, hawa nimekumbuka home kwetu uwiiiiih.
Poleeh sana cc, uvumilivu na kukubali hali.40 days [emoji174]
Mungu ni baba[emoji120].
Karibu tuwale huku[emoji2]Dagaa nyasa, hawa nimekumbuka home kwetu uwiiiiih.
Mie hii siichoki kutazama wallah.
Wapi uko, mie nlivotoka likizo nilibeba sado 5, ila wameisha.Karibu tuwale huku[emoji2]
Mbinga ndugu,now wapo bei juu.kisado sh.elfu 14,Si unajua hali ya hewa si rafiki.Wapi uko, mie nlivotoka likizo nilibeba sado 5, ila wameisha.
Mboga yangu kuu na pendwa hiyo .