Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Kwema mkuu usijali Kamanda umepata nafasi nyingine katika hii dunia nzuriiii jipe moyo
Kwema mkuu usijali Kamanda umepata nafasi nyingine katika hii dunia nzuriiii jipe moyo
AMINAUmenikumbusha mbali!
Niliwahi pitia hali Kama hii
Vidonda vinauma sana hasa wiki ya Kwanza ,usiogope utapona kadiri siku zinavyosonga mbele..hata kama unaona vinawaka moto Sana.
Kuanzia week ya pili utapata nafuu zaidi.
Mungu ameshakuponya,kukuachia uhai ni jambo kubwa mno.
Majeraha na maumivu yataondoka kadiri muda unavyosonga mbele.
Jitahidini kufwata utaratibu wanaokupa wataalamu.
Pole Sana.
Vizuri sana kama ni kwema mkuuKwema mkuu usijali Kamanda umepata nafasi nyingine katika hii dunia nzuriiii jipe moyo
Jikaze wewe mtoto wa kiume.AMINA
Akhsante sana mpendwa wangu kwa faraja yako
Ki ukweli vidonda vinauma sana ila hamna namna navumilia kiume
Barikiwa mno Saint Anne
Duuuuuh hadi nimeogopa mweeehJikaze wewe mtoto wa kiume.
Vidonda huwa vinauma sana,,hii wiki lazima vikuume,tena sana tu maana vinavunda then vinaanza kupona..lakini mimi naona umeshapona.
Una heri unaweza hata kuchat,mimi macho yote yaliziba,2weeks sioni kabisa na nilikuwa sili,mdomo uliziba..
Miezi mitatu sikutembea.
Lakini leo nipo hivi,you see,naselfika hapa ukiniona huwezi dhani kama nilipitia hayo.
Utakuwa poa tu baada ya kupata Moto wa kutosha hizi wiki.
NI KWA NEEMA TU MPENDWAJikaze wewe mtoto wa kiume.
Vidonda huwa vinauma sana,,hii wiki lazima vikuume,tena sana tu maana vinavunda then vinaanza kupona..lakini mimi naona umeshapona.
Una heri unaweza hata kuchat,mimi macho yote yaliziba,2weeks sioni kabisa na nilikuwa sili,mdomo uliziba..
Usoni nilikuwa siangaliki mara 2.
Miezi mitatu sikutembea.
Lakini leo nipo hivi,you see,naselfika hapa ukiniona huwezi dhani kama nilipitia hayo.
Utakuwa poa tu baada ya kupata Moto wa kutosha hizi wiki.
Ndiyo.NI KWA NEEMA TU MPENDWA
.
Kupanda ni fasta..kushuka sasaBia hazijashuka beiView attachment 1847525
Amina Saint AnneNdiyo.
Now ngoja upone kwanza.
Ukishapona Kuna kitu utajifunza mwenyewe.
Umebahatika kupona kwenye ajali,
Kumbuka ni wachache wanapata hii bahati.
Unapendwa na Mungu,
Ni wakati sasa wa kutulia na Mungu.
Ugua upone.
Siku ya kusafisha vidonda nililia kilio kikuu utadhani nimeangikwa msalabani kama Yesu.Duuuuuh hadi nimeogopa mweeeh
maana havina mpangilio ,vinahakikisha haulali usingizi kabisa
..kuna muda vinapambana kuuma ili mradi tu ulie
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🥺🥺🥺🥺Elly pole baba.mamaaaa..unaendeleaje kwa sasa ndugu yangu 😔😔😔Habarini za asubuhi wapendwa
Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213
Shemeji wa kienyeji T 1990 ELY chukua mchango wangu kwa kipenzi changu mtu chake😎😎Mgonjwa hebu tupia namba yako tuweke muamala wapole ukakae kiti kirefu wiki ending hii
Hizi pole za maneno matupu zipo tu
Akhsante sana ChakoriiElly pole baba.mamaaaa..unaendeleaje kwa sasa ndugu yangu
![]()
Haha mtu chake bhanaMgonjwa hebu tupia namba yako tuweke muamala wapole ukakae kiti kirefu wiki ending hii
Hizi pole za maneno matupu zipo tu
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🥺🥺🥺🥺Elly pole baba.mamaaaa..unaendeleaje kwa sasa ndugu yangu 😔😔😔
Acha maneno weka nambaHaha mtu chake bhana
Hata hizi pole za maneno matupu nazipokea kwa mikono miwili na zina fariji na kutia tumaini la kupona na kurudi kwenye hali yangu kama zamani mkuu wangu
Akhsante sana mkuu
Nafurahi kusikia unaendelea vizuri wakienyeji.
Acha maneno mtumie mgonjwa fwezaAcha maneno weka namba
Ila ngoja niungane na wadau kutoa pole
Akhsante kwa kufurahi kusikia naendelea vizuri mkuuNafurahi kusikia unaendelea vizuri wakienyeji.
Na Imani utapona mapema sana