Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Mwache achomoe tu...
Kwa kile kiuno nyigu na sura la kisomari
Mbona ataumia mwenyewe![]()


akinichomolea atakimbie uzi wake mbona.Maana sitashindwa.
Mwache achomoe tu...
Kwa kile kiuno nyigu na sura la kisomari
Mbona ataumia mwenyewe![]()


akinichomolea atakimbie uzi wake mbona.kumbe 😆😆anayo ID nyingine.
nilitaka kusahau kuwa insta babe wangu kwa mwez tz hukaa wiki moja tuJua linamuunguza sana insta babe inabidi apambane tu na hali yake

Kama humsifii mkeo wapo wasifiaji,, andaa panadol kabisaTahadhari :
Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.
Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
Natamani kujua simu gani unatumia dada
Pandisha camera juu kidogo
nasinzia nikikuwaza nameless
Umeona eeeh..akinichomolea atakimbie uzi wake mbona.
Maana sitashindwa.



Hahahahaha ebu uko upoje lakini umeshaanza uchizi wakonilitaka kusahau kuwa insta babe wangu kwa mwez tz hukaa wiki moja tu![]()
Pongezi kwako kwa kumfanya atupostie usingizi wake.Umoja ni nguvu, kwa pamoja tumemshinda shetani
Kama nakuona tabu unayopataSamsung sema nimepasua kioo kwa nyuma.. nateseka acha tu.
Sioni akijibu mapigo ya iPhone
Au alidhani wote tuna tecno Kama Mimi![]()


na wewe kakorofi ka chini chini.Niliipitaje hii msg jamani, kapeace kaiquote ndio nikaiona. Na wakumbuke tu wanawake huwa hatusahau kitu kirahisi.Brother wala hakuna haja ya kufanya character assessment kupitia huu uzi, utawakosea warembo wa watu.
Waache wateme sumu zao wiki nzima waliteseka nyuzi zisizikuwa na mpango, fikiria mdada wa wa watu kapost picha yake mtu kaichukua kaizoom na kukandia sijui kavaa ndala na maneno mbovu mbovu kibao, lakini anasahau hao ni wadogo zetu ndo wamemaliza masomo au ndo wanaanza hustling za maisha, unaweza kumkosoa kwa kumfata pm au ukamkosoa in a good way lakini si kumbeza jukwaani kumdhihaki ili mradi tu.
Halafu kwenye haya maisha kweli unaweza kumdhihaki mtu kisa viatu sijui kiuchumi hayuko sawa, leo utamcheka kavaa ndala kesho yake unakatatika miguu kwa ajali hata hizo ndala huwezi kuvaa tena.
Haya maisha kuna watu wanajisahau sana hukatazwi kumsifia mwanamke wako offcourse ndo tunavyopendwa kusifiwa n wanaume zetu ila ukinisifia mimi siyo uwaponde wanawake wengine, thats not cool na msukuma wangu kaniambia haipo kwenye katiba ya kiumeni.
Unatisha aiseeEheeeee
napeeeenda sana hivyo visteki vya tumbo😍😍❤️❤️Mdogo wake shunie anakusalimiaView attachment 1223254