Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikiweka Tena picha hapa nitakuwa sio mimi walahi.
Nimeweka zaidi ya mara 3.
Ndio ujifunze ,Siri ya kuto kupitwa Ni kukodoa macho muda wote.
Unadhani watu wanakodoa macho humu mchana kutwa usiku kucha wanapenda? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajikaza kisabuni tu.
sometime sifanyikazi naperuzi mda wote nisipitwe na matukio 😡😡😡🙄
 
Atakae taka picha yoyote kati ya zile zilizotumwa humu,anistue.

Hii ndio kazi niliyoichagua katika huu uzi,yaani kutunza kumbukumbu.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Tahadhari :

Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.

Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
 
Kugeuka utapambana na depal.
Mimi mpambano wangu nishashindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenizidi.
Wewe una tumbo dogo na mwili mkubwa.
Mimi dogo kwa sababu ya mwili mdogoView attachment 1223030
Unajua kujitetea [emoji28][emoji28].
Weee Depal akishindana na mimi ya kugeuka ajiandae kushindwa.
 
Tatizo kiuno kimechelewa kutumwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya juzi ipo Kama ya kisomali hivi waliiona!?[emoji2956]

Hannah dadangu kwa heshima yangu naomba unyamaze please[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ninyamaze nini tena mbona jana sikusumbua kabisa.
 
Back
Top Bottom