Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]And yet haukauki kwenye huu uzi, hebu acha turushe picha zetu kwa raha zetu. Hivyo vitisho vyako watumie wakezo msg.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]And yet haukauki kwenye huu uzi, hebu acha turushe picha zetu kwa raha zetu. Hivyo vitisho vyako watumie wakezo msg.
Ila usimkatalie mimi napenda tuwe hata sita ili nyumba ichangamke[emoji28][emoji28]Ewaaaaa afadhali mwenye Mali umejitokeza
Ashindwe kwa jina la YesuDah.. [emoji39][emoji39][emoji7]mdogo wangu huyoo.. Shetani pita mbali na mimi
Naingia kulala sasa.
Jamani yule aliyesema tunatumia tecno asidhani hatuna simu. Ni vile hatupendi showoff za kishamba.View attachment 1223048
[emoji29][emoji29][emoji29]Umeshinda best ila umepata mpinzani.. Nimeshindwa kabisa kumuaibisha shetani [emoji30][emoji30][emoji30]View attachment 1223253
white maria rangi ya mtume kabisa iyo mama mkweMdogo wake shunie anakusalimiaView attachment 1223254
Band tu ya kukopy mama ila wanapiga vizuri 13 mega pixel jirani leo nahisi nitakuwa maeneo yako ya golden park tutaonana etiBendi gani wanapiga hapo? Sijaja siku nyingi sana mitaa hiyo.
Hahhahhaah jinga wewemimi nimeelewa insta babe..... namsalimia pia kwa mara ya tatu [emoji23] alfu mabrouk alfu mabrouk rangi ya mtume from dubai [emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hahhaha toto toto [emoji8][emoji8][emoji8]
👀👀👀pale reception 😍😍❤️❤️❤️Haya vimbau wote tunawatakia asubuhi na weekend njema
Brother wala hakuna haja ya kufanya character assessment kupitia huu uzi, utawakosea warembo wa watu.
Waache wateme sumu zao wiki nzima waliteseka nyuzi zisizikuwa na mpango, fikiria mdada wa wa watu kapost picha yake mtu kaichukua kaizoom na kukandia sijui kavaa ndala na maneno mbovu mbovu kibao, lakini anasahau hao ni wadogo zetu ndo wamemaliza masomo au ndo wanaanza hustling za maisha, unaweza kumkosoa kwa kumfata pm au ukamkosoa in a good way lakini si kumbeza jukwaani kumdhihaki ili mradi tu.
Halafu kwenye haya maisha kweli unaweza kumdhihaki mtu kisa viatu sijui kiuchumi hayuko sawa, leo utamcheka kavaa ndala kesho yake unakatatika miguu kwa ajali hata hizo ndala huwezi kuvaa tena.
Haya maisha kuna watu wanajisahau sana hukatazwi kumsifia mwanamke wako offcourse ndo tunavyopendwa kusifiwa n wanaume zetu ila ukinisifia mimi siyo uwaponde wanawake wengine, thats not cool na msukuma wangu kaniambia haipo kwenye katiba ya kiumeni.
Mdogo wangu huyo ba mkwewhite maria rangi ya mtume kabisa iyo mama mkwe
[emoji23][emoji23][emoji23]Ninachokupendea haupindishi maneno, nyeupe ni nyeupe tu, no kissing anybody's a$$$.
Nina historia mimi.Nimekumbuka halafu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ulijua sana kumvuruga anko wangu wewe.
Insta babe wako unajua pa kumpata ujue
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]Mdogo wake shunie anakusalimiaView attachment 1223254
Shindano Leo vipi.View attachment 1223003
[emoji23][emoji23][emoji23] AiimenUmoja ni nguvu, kwa pamoja tumemshinda shetani
ww unavaaga moka flat mbele? mimi siwezagi kuvaa kiatu chenye two angles mbele [emoji23]sema viatu vimechongeka kweli kwa mbele