Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tahadhari :

Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.

Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
And yet haukauki kwenye huu uzi, hebu acha turushe picha zetu kwa raha zetu. Hivyo vitisho vyako watumie wakezo msg.
 
Cheupe wee. Ni macho yangu au umeanza kunenepa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Picha ya mdogo wangu ya zamani hiyo ujue ila kama sasa hivi kaanza kunenepa mana jeans zake nyingi hazipiti
 
Back
Top Bottom