Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Sina bahati kwakweliUmeshinda best ila umepata mpinzani.. Nimeshindwa kabisa kumuaibisha shetaniView attachment 1223253
Sina bahati kwakweliUmeshinda best ila umepata mpinzani.. Nimeshindwa kabisa kumuaibisha shetaniView attachment 1223253
pale reception
![]()

Aisee kumbe ndio alichosema? 😏😏😏..Naanzaje kusahau kirahisi na wakati mwezi mzima huku alikuwa anatusema sisi ni wabovu.
Kwa picha ya demu wake hiyo daahsiwezi kusahau kwakweli.View attachment 1223242View attachment 1223244
Haya sasa wale wapenda model,,, karangi nimekapenda sanaHaya vimbau wote tunawatakia asubuhi na weekend njema
nimempenda bureMdogo wangu huyo ba mkwe
Mbona hapa kwenye hii picha ni mwembamba sana.
Jua linamuunguza sana insta babe inabidi apambane tu na hali yakehahhahaha.... nimeshampataaaila badae ntamuuliza hivi yeye jua la bongo halimuunguz maana karangi kanazidi.kung'aa tu
Amen, kamaliza kila kituHaleluya
Hahhahhaah jinga wewe
Ninachokupendea haupindishi maneno, nyeupe ni nyeupe tu, no kissing anybody's a$$$.




nikifanya unafki roho huwa inaniuma ninaweza nisipate hata usingizi.sema vimekutoa sana mkuuww unavaaga moka flat mbele? mimi siwezagi kuvaa kiatu chenye two angles mbele![]()
Umoja ni nguvu, kwa pamoja tumemshinda shetani





Asante ba mkwe zimefika salaamnimempenda bure
Semegi unataka ukaifanyie nini?Pandisha camera juu kidogo