cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe hapa khaaah, acha uongo wee lolYesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina Matege hatari, miguu haina ushirikiano kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe hapa khaaah, acha uongo wee lolYesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina Matege hatari, miguu haina ushirikiano kabisa.
Mama mchungaji ktk pouzi murua, [emoji23][emoji23]
Jamani jamani daaaah,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie kumbe kweli, mimi sikuwahi kulifuatilia na kuvaa bra. Sasa wenye mizigo yetu na shimizi jamani mweeh.
Hivi na uzazi wa mpango hauruhusiwi? Jamani jamani kuna sehemu niliendaga nikamkuta huyo mama, ana watoto wengi, hawajapishana umri na anaendelea kufyatua kila inapowezekana. Ndiyo majirani wakawa wanateta eti hawaruhusiwi kutumia uzazi wa mpango
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah hio hata bila kuridhika utakuwa bonge hadi raha[emoji28] haijawahi mkataa mtu
Yaani acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe hapa khaaah, acha uongo wee lol
[emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo bhan lol.
Browser mm siwezi kutumia aisee.Hata mm Kwa hili wanatukosea
Maana kwenye browser n Keri
Hata siipendi
We huoni tu jinsi ilivyopinda[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo bhan lol.
Ungesema hizo project ni zipi ningejua najibu nini.Nimeelewa hutaki kujibu, ila unasingizia my projects ndio sabb.
My projects zimekuwa kichaka [emoji23]
BTW thank you for reminding me about Jesus.
Hamna sijamzidi..Hahahha mbona unamzidi vingi yamkini wewe ni zaidi yake kiujumla.
Umeidownload [emoji108][emoji23]
Hamna sijamzidi..
Ila uzuri wa mtu upo machoni pa mtu..amependeza Sana na ninependa namna amepaka wanja .
Ni mkeo?
Nimescreeshot,ninaiuza kwa elfu 10[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyuma vimekaza[emoji23]Si umemzidi hayo mahips [emoji3][emoji3]
Na hapo sura ako hatujaiona pengine una mkimbiza mbali sana
Tunawaweza basi na hizi make up zenu
Mtu anabadirika utasema mwarabu. Huwaga unapaka pia ?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sio mke wangu ni shemeji wa mbali sana
Acha uhuni na sura ya watu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana cc.
Umeamua cc kutuburudisha kwa photos, woiiiiiiih