Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Aaah kama ibada ni kila siku, hapo lazima ujipange vizuri.
Mavazi si shida sana ninaweza fanikiwa kwenye mavazi ila nikakwama sehemu nyingine hasa mahudhurio ya inada za huko ambalo ndilo jambo muhimu kuliko yote.
Naona tu bado sijasettle kuweza kurudi.
Ratiba zangu kwa Sasa naona zitanibana,nitashindwa kwenda na kasi ya huko maana kila siku lazima kwenda faraghani.
Sent using Jamii Forums mobile app