Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hivi umeuliza nini?Ahsante kwa swali zuri,
Naomba Mkuu hii miradi ibaki kuwa siri yangu.
Hata hivyo Mkuu, nadhani usiri wa miradi haikuzuii kujibu nilichokuuliza ikikupendeza.
Mambo ya nyanda za juu haya
Kishepu kinanona
Sijui kwanini Jf App haifungui Attachment.
Nashindwa kujibu hilo kwa sababu hujasema ni miradi gani unayoifanya.Post #100713, aya ya 2.
Nitakupa dawa hio utanenepa miezi 9 kwa jina la yesu, tuseme amen!
Jaribu ku updateSijui kwanini Jf App haifungui Attachment.
Yaani inanilaumu nitumie browser.
Maxence Melo tukumbukeni kidogo watu tunaotumia App.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakupa dawa hio utanenepa miezi 9 kwa jina la yesu, tuseme amen!






Hata mm Kwa hili wanatukoseaSijui kwanini Jf App haifungui Attachment.
Yaani inanilaumu nitumie browser.
Maxence Melo tukumbukeni kidogo watu tunaotumia App.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hio hata bila kuridhika utakuwa bonge hadi raha😅 haijawahi mkataa mtu
Kunenepa kwangu ni hadi niridhike na maisha..ikitokea tu shida kidogo basi nakonda tena.
Sent using Jamii Forums mobile app