Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20210520-WA0128.jpg
 
Si umemzidi hayo mahips [emoji3][emoji3]
Na hapo sura ako hatujaiona pengine una mkimbiza mbali sana

Tunawaweza basi na hizi make up zenu
Mtu anabadirika utasema mwarabu. Huwaga unapaka pia ?

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sio mke wangu ni shemeji wa mbali sana

Acha uhuni na sura ya watu[emoji23][emoji23]
Make up mimi sipaki.
Yaani na huu ukimbaombao natoa wapi hips jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Make up mimi sipaki.
Yaani na huu ukimbaombao natoa wapi hips jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwanini usipake ? Unataka upake mpaka ifike siku ya harusi yako.

Hahahha wewe huyo kimbaumbau ? Wewe ndie unayo tena sijui + na matege yale. Usionge kabisaa kuna pich umebeba mtoto unayo ? itume tena tu'label the curved part [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nashinda shamba mkuu,make up ya nini?[emoji23]

Yesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787],ona napewa sifa si zangu[emoji23][emoji23]
Hebu tuma kwanza ya yule dada tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom