Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Adjustments.JPG

Another Hush Puppies [emoji190]
 
Naingia kulala sasa.
Jamani yule aliyesema tunatumia tecno asidhani hatuna simu. Ni vile hatupendi showoff za kishamba.View attachment 1223048
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya ndio mambo.
Maneno na picha[emoji8][emoji8][emoji8]
Asubuhi mlizidisha maneno.
Usiku mwema
 
Alisumbua sana.akijiona kiranja wa wachomoa betri.
Na kusema sisi ni wabovu.
Yaani mpaka nisahau hiki kituko alichotupostia sio Leo wala kesho[emoji28][emoji28][emoji28]
Haki cha moto atakiona, msameheni tu.
 
Kumbe nilikuwa najifaragua tu. Ng'ombe wangu wala hawataenda mnadani Pugu. Na siksi paki ukitaka niko tayari kuachana na hiki kitambi cha kishikaji. Nitatafuta njia mbadala za kufutia tekno yangu. Yu a gojazi wallahi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mambo ya tecno.
Nilisharidhika nayo kimbaombao mimiView attachment 1223097
JF hii imebarikiwa sana aisee. Naamini kuanzia sasa nyuzi za kuponda mabinti wa JF kuwa ni wabaya hawana shape zitakuwa zimekufa rasmi. Ashukuriwe mlozi Mshana Jr kuanzisha uzi huu. Hata wanaotafuta wenza washindwe wenyewe tu. Na hapa unaweza kufuatilia mtu anavyoposti na kujibizana na watu ukapata fununu ya tabia zake na misimamo yake. Kwa neema ya Mungu uzi huu utazaa ndoa aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom