Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
Indeed
bro your shoe game is insane [emoji91] [emoji91] [emoji91]
bro your shoe game is insane [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1223195
Usitafute ligi usiyoweza kina chake wewe[emoji84][emoji83][emoji43]View attachment 1223202
Huyu namfananishaUsitafute ligi usiyoweza kina chake wewe[emoji84][emoji83][emoji43]View attachment 1223202
JF hii imebarikiwa sana aisee. Naamini kuanzia sasa nyuzi za kuponda mabinti wa JF kuwa ni wabaya hawana shape zitakuwa zimekufa rasmi. Ashukuriwe mlozi Mshana Jr kuanzisha uzi huu. Hata wanaotafuta wenza washindwe wenyewe tu. Na hapa unaweza kufuatilia mtu anavyoposti na kujibizana na watu ukapata fununu ya tabia zake na misimamo yake. Kwa neema ya Mungu uzi huu utazaa ndoa aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Sina uhakika kama haya uliyoyaandika yanahusiana kwa namna yo yote na comment yangu uliyoikwoti. Labda sijaelewa.
JF hapa, kama ilivyo huko mitaani, kuna watu wa kila aina. Hapa tumechangamana watu wa makuzi tofauti, elimu tofauti, uchumi tofauti, exposure tofauti, morals tofauti, mitazamo tofauti...na ukilijua hili basi hakuna kitakachokushangaza hapa. Na mimi naamini utofauti wetu huu ndiyo unaifanya JF kuwa hivi ilivyo. Nilichojifunza hapa ni kuvumiliana tu kwa sababu kamwe hatuwezi kuwa sawa.....
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Anyway nimefurahi kusikia kuwa una dume la Kisukuma. Hakuna wanaume wanaojitambua kama Wasukuma; na wao wakipenda basi wamependa. Pamoja na "ushamba" wao lakini Wasukuma ndiyo mpango mzima. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
Tafadhali sana Mshana jr naomba huyu niachie pls. Najua sikuwezi kwenye vingi. Me nina Mungu tu ww una kila kitu + tunguli nazo ukiamua kutumia.Zesh naomba kuwa rafiki yako mpenzi[emoji7][emoji85]takupa dawa ya ngekewa
Usijali hatakataa[emoji144][emoji144][emoji144]
Nimeijaribu Budweiser naona haina utamu kama wa heineken acha tu nibaki na heineken yangu wasaliti watarudi tu nyumbani
Acha kabisa unaweza kuomba ardhi ipasuke utumbukie chini.Hahah alafu unakuta ulisha zamaga pm kurusha ndoano kipindi flan.
Patam hapo.....
Hivi hizo zawadi mnapeana kindugu au kimafungu jamani [emoji134][emoji134] mbona mimi sipewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babe utamuweza kweli huyu, tusijepigwa upepo wa kisurisuriTafadhali sana Mshana jr naomba huyu niachie pls. Najua sikuwezi kwenye vingi. Me nina Mungu tu ww una kila kitu + tunguli nazo ukiamua kutumia.
😂😂😂...[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Sina uhakika kama haya uliyoyaandika yanahusiana kwa namna yo yote na comment yangu uliyoikwoti. Labda sijaelewa.
JF hapa, kama ilivyo huko mitaani, kuna watu wa kila aina. Hapa tumechangamana watu wa makuzi tofauti, elimu tofauti, uchumi tofauti, exposure tofauti, morals tofauti, mitazamo tofauti...na ukilijua hili basi hakuna kitakachokushangaza hapa. Na mimi naamini utofauti wetu huu ndiyo unaifanya JF kuwa hivi ilivyo. Nilichojifunza hapa ni kuvumiliana tu kwa sababu kamwe hatuwezi kuwa sawa.....
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Anyway nimefurahi kusikia kuwa una dume la Kisukuma. Hakuna wanaume wanaojitambua kama Wasukuma; na wao wakipenda basi wamependa. Pamoja na "ushamba" wao lakini Wasukuma ndiyo mpango mzima. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Najitahidi sana kumuaibisha shetani lakini sijui nafeli wapi... Ila nimegundua tatizo ni hii mada[emoji30]
heshima kwako, kwa hakika uko vizuri sanaUsitafute ligi usiyoweza kina chake wewe[emoji84][emoji83][emoji43]View attachment 1223202