Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Hizi kasheshe zilipotea kipindi fulaniš
Hizi kasheshe zilipotea kipindi fulaniš
Ilikuwa tamu sana[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] tamuuuuh
Haha kuna uwezekano kabisa wa kuwazaa maana ni ishu ya kigenetic hiyo. Yani usiombe wawe watundu au lialia utakomaš š mimi napenda wawe wa kike na kiume.Mamangu anamapacha kwahiyo na mimi nikae kimkakati sio.kwenye ukoo wetu kuna uhaba wa watoto wa kike..natamani kuja kufyatua vipacha vya kikešš.ila ile shughuli mama aliyokuwa anaipata kipindi kile...kwakweli bwana asimame
Nafufukaje wakati sijafa we mtoto! Pilau huenda nilikula Ila sijafufuka na bwana Yesu.[emoji23]Mara moja moja kuwa kimya sio mbaya Chief.natumai ulifufuka na bwana Yesu na pilau pia ulikula ya kutosha [emoji4]
Ngoja nijiandae kisaikologia aise.Haha kuna uwezekano kabisa wa kuwazaa maana ni ishu ya kigenetic hiyo. Yani usiombe wawe watundu au lialia utakomaš š mimi napenda wawe wa kike na kiume.
Kumbe hadi waganga sometimes huwa mnapata muda wa kuenjoy maishaš Doctor unakunywa imported wines aisee kilingeni kunalipaašNahisi nazeeka sasaView attachment 1744693
Karibu dear, habari ya UE ?ulipotea humu ndiyo mambo ya zima moto ninišYai hilo tyuuh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sina hamu jinsi ulivyonitelekeza visiwani, Kama ulikuwa unaogopa kesi ya mauaji ningekupa wakili kabisa na ushahidi ningeutoa mahakamani š. Kwamba nilitaka mwenyewe damu changa šššš»Naona umeamua kuamini kwa mtakatifu.šškweli maisha yanaenda kasi sana
Nilikuja hapo nikagonga papaaa la nyumba mpka basi..ikabidi nirudi nilikotokaSina hamu jinsi ulivyonitelekeza visiwani, Kama ulikuwa unaogopa kesi ya mauaji ningekupa wakili kabisa na ushahidi ningeutoa mahakamani š. Kwamba nilitaka mwenyewe damu changa šššš»
Mtakatifu mwenyewe nawasiwasi naye, isije kuwa mwaka mzima anafunga na kuomba huku akiacha suala muhimu lililotuunganisha. Mambo ya kupimiwa huduma napenda basi!š š
Umeshindwa kunihudumia mgeni miye hadi natafuta msaada kwa majirani.Wachaaaašš
Tatizo unakuja usiku mnene unakuta nishapiga Hennessey zangu unakuta nimeshalala.Nilikuja hapo nikagonga papaaa la nyumba mpka basi..ikabidi nirudi nilikotoka
Njoo piemu [emoji41][emoji8]Natafuta lemchumba.sifa zangu..naweza kuishi kijijini na kupikia kuni [emoji16]
View attachment 1744064
š š š šNgoja nijiandae kisaikologia aise.
Nawajua mapacha nimewalea wadogo zangu nawaelewa sana ingawa sasa wanamagirlfriend huko basi wanaona sikufanya kazišššvisungura vile vilinisumbua mno..
Aisee mapacha ni watamu sana kama si wasumbufu
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Ilikuwa tamu sana
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3059][emoji3059]