financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,503
Acha wivu na vyakila vya Lizzy😀Utafikiri umekula kweli kumbe sahani yako si ajabu umedonoa donoa tu kama ilivyo kawaida yako. Yaani kuna wakati naangaliaga jinsi unavyogusa gusa vyakula tu na kuviacha mpaka roho inaniuma yaani [emoji16][emoji16][emoji16]