cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc hapan lol, hapa mbavu cna mweeeeehKila ukisinzia alarm inapiga kichwani huku ikisema"unachokitafuta utakipata"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc hapan lol, hapa mbavu cna mweeeeehKila ukisinzia alarm inapiga kichwani huku ikisema"unachokitafuta utakipata"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] tamuuuuhNatafuta lemchumba.sifa zangu..naweza kuishi kijijini na kupikia kuni [emoji16]
View attachment 1744064
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tz tuna amiri jeshi mwanamke tayari.
Hopefully atashughulikia na mitima yenu[emoji3]
Kuna mtu majuzi kaniulizaga hivi serengeti lite nayo ni bia? Mtu anaenda bar kunywa lite.🤔😆😆😆Nahisi nazeeka sasaView attachment 1744693
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kwa wale wapenzi wa cake [emoji846]View attachment 1744224
Yai hilo tyuuh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Karibu salimeti, hii ni homemade mkono wangu mwenyewe [emoji3][emoji3]
View attachment 1744353
View attachment 1744355
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8] momHeri ya pasaka kwako pia dear. I miss you more.
Wazaz wangu wamezaa twins mara 2, mara ya pili walizaa 3 twins bahat mbaya m1 alichukuliwa na jah pindi alipozaliwa tyuuh, wamebaki 2.Mapacha ni wasumbufu kweli hata kama ni wawili wakiwa bado ni wadogo unakoma ila wakishakuwa raha sana.
Mahandsome wa huu uzi mnatunyanyasa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vigezo na masharti kuzingatiwa!
Haaa basi wewe umeniibia mimi [emoji23][emoji23][emoji23]Hii mbona umetoa kwenye dp yangu WhatsApp [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiii huyu vipi tena jamani[emoji3] wivu tu na ungejua kilivo kitamu usingesema. Mkeo mwenyewe hana chura kama sisi na vyakula vyake vitakua vibaya kama hivo?[emoji51] pua yako
We acha tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc hapan lol, hapa mbavu cna mweeeeeh
Aseeeeeh ilikua hatari na nusu.We acha tu!
Mambo yalikuwa mazito Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sehemu gani hii?Nipo kijijini huku, nafaidi mahindi mabichi tyuuh,View attachment 1744752View attachment 1744754
Afe kipa afe beki slides lazima ziishe[emoji23]Aseeeeeh ilikua hatari na nusu.
SongeaSehemu gani hii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikua ni lazima yaanAfe kipa afe beki slides lazima ziishe[emoji23]
OhSongea
Ahsante cc, karibu sana kwetu.Oh
Kuzuri[emoji3531]