Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,305
Mambo ya kukaririshwa Zaburi na Matendo ya Mitume sijui kama nitaweza.Mtakatifu ndo mzuri.mpe nafasi atoe msaada 😆😆😆😆
Labda aniambie kila siku tuwe tunasoma kitabu cha Wimbo Uliobora, hapo nitaweza😀😀🙈.
Otherwise bora nirudi Zanzibar tu 🙊