SAWA.Watoto wahini kulala ili mkue.
Kapendeza sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana naitaji motivation kwanzaHivi hadi new year bado unasumbua kuweka picha[emoji23]
Mapichapicha yote niliyoyapost humu,unahitaji motivation gani tena jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana naitaji motivation kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23]em tuma tena maana long time sijaingia humuMapichapicha yote niliyoyapost humu,unahitaji motivation gani tena jamani?
🤣🤣🤣Hiii huyu vipi tena jamani😀 wivu tu na ungejua kilivo kitamu usingesema. Mkeo mwenyewe hana chura kama sisi na vyakula vyake vitakua vibaya kama hivo?😬 pua yako
Mwee [emoji134]Saint Anne Hii hapa kwa ajili yakoView attachment 1744592
Bhasi tualikane hata vingine mkuuSi bora hata tungalikana tu mkuu maana sijapata mualiko wowote, ila si mbaya next year Mungu akipenda ntakualika mapemaa[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vigezo na masharti kuzingatiwa!Mwee [emoji134]
Mbona haionekani sasa jamani
Hee vingine tena😀😀, vipi hivoo?Bhasi tualikane hata vingine mkuu
Hii mbona umetoa kwenye dp yangu WhatsApp [emoji23][emoji23][emoji23]Bwana Yesu amefufuka kwelikweli Halleluya![emoji7]View attachment 1744649
Nialike hata siku moja kukutumia hela na ya kutoleaHee vingine tena[emoji3][emoji3], vipi hivoo?
Mmh pesa za bure bure siyo nzuri mkuu, mwishowe uje kunidai na riba juu😀😀Nialike hata siku moja kukutumia hela na ya kutolea
Habari za asubuhi mpendwa
Hapana siwezi kukudai na riba juuMmh pesa za bure bure siyo nzuri mkuu, mwishowe uje kunidai na riba juu[emoji3][emoji3]
Rafiki huyo ni mtani wangu,huwa napenda kumpiga piga makonzi kama hivyo!😄😄😄