Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ipo siku nitakuja panapo uzima.Ahsante cc, karibu sana kwetu.
Ipo siku nitakuja panapo uzima.Ahsante cc, karibu sana kwetu.
Huyu mzee natamani apewe tena ile nafasi yake ya ukuu wa Mkoa.. alikuwa ananivunja mbavu sana.
Mapacha wana raha yake kwakweli.Wazaz wangu wamezaa twins mara 2, mara ya pili walizaa 3 twins bahat mbaya m1 alichukuliwa na jah pindi alipozaliwa tyuuh, wamebaki 2.
Twins wana raha mno.
Kweli maisha yanabadilika/yanaenda kasii.
Hapa watatusaidia ambao hawakudoji pindi laa genetics kwenda kucheza kamari ya pooltable hahahahahaHivi suala la kuzaa mapacha huwa ina flow kwa mwanaume kweli mfano wale fraternal baba anahusika kweli?
Hapa watatusaidia ambao hawakudoji pindi laa genetics kwenda kucheza kamari ya pooltable hahahahaha





Nasubiri picha yako.
Fraternal baba hausiki kwa sababu mayai kutoka ovary ya kushoto na kulia huundergo ovulation kwa pamoja so mama ndio mhusika hao identical sina uhakika bado.Hapa watatusaidia ambao hawakudoji pindi laa genetics kwenda kucheza kamari ya pooltable hahahahaha
Mara moja moja kuwa kimya sio mbaya Chief.natumai ulifufuka na bwana Yesu na pilau pia ulikula ya kutosha 😊Sijambo sana, naona ukimya kama wote tu.
Pasaka kama kawaida, tumejilalia nyumbani tu.
Naona umeamua kuhamia kwa mtakatifu.😁😁kweli maisha yanaenda kasi sanaMbona Ruth alikuwa anatoa amri na wanaume wanatii-refer agano la kale.
Naomba uwe amiri Jeshi Mkuu wa mtima wangu, nakuhaidi kukutii daima😂
😌😌🥺🥺I want a son so bad. Please Jesus do something
Halafu bro, ile ishu inaendeleaje? Unapambana? Usikute hata ilikuwa ni wrong alarm tu....
Vipi kaka ako bado hajapata muchumba.sharti awe anapumua tu😁Hakuna chakula kutamu kama chakula Cha kwenye kuni.
Mama yangu hadi leo anapikia kuni..jiko la mafiga halijawahi kosekana.
Nina Kaka yangu mmoja hajaoa.
Wachaaaa😁😁Nikitoka Zanzibar moja kwa moja Mbeya, get prepared kupokea ugeni 😀
Mamangu anamapacha kwahiyo na mimi nikae kimkakati sio.kwenye ukoo wetu kuna uhaba wa watoto wa kike..natamani kuja kufyatua vipacha vya kike😁😁.ila ile shughuli mama aliyokuwa anaipata kipindi kile...kwakweli bwana asimameMapacha ni wasumbufu kweli hata kama ni wawili wakiwa bado ni wadogo unakoma ila wakishakuwa raha sana.